Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kila jambo lilienthal kama ndoto na hakuna sehemu nimesema ni kepesimheshimiwa Raisi, ulichokiandika sio chepesi sana kama unavyoota
Kwahiyo kama sio chepesi hivyo, kwanini unataka ukiweke kwenye vyanzo vikuu vya mapatoKila jambo lilienthal kama ndoto na hakuna sehemu nimesema ni kepesi
Mwafrika hata kutafutà fedha anaogopa ni kawaida kuwa na fursa mahali husika na kuziogopa akija mgeni na kuanza kuzichangamkia tunaanza lalamikaKwahiyo kama sio chepesi hivyo, kwanini unataka ukiweke kwenye vyanzo vikuu vya mapato
Bado mazingira hayaruhusu ndo maana kwenye paragraph ya mwisho nimesema kama nchi tunatakiwa tushiriki kwenye kutengeneza mazingiraMada ngumu, mleta mada tutajie mataifa mangapi duniani yame-capitalize kwenye space economy?
PamojaMh Raisi . Utanipeleka huko nikakuwakilishe kama Balozi.
Pamoja
Mimi ni KIONGOZIAlaf ww ni mwanasiasa , mwanaharakati au mwanamapinduzi.
Au uko kund gan
Umeona potential walizozichungulia wenzetu.Hapa duniani hakuna industry ambayo imefikia market capitalization ya usd one quadrillion ni space colonization peke yake ndo ina-hiyo market capitalization na iko untapped kwa zaidi ya asilimia 90
Kuna watu wanasema wewe mtia nia wa urais wa Tanzania mbona hufocus na mambo kama huduma za maji, umeme, miundombinu, afya ambazo ndo changamoto kubwa inayowasumbua wafrika jibu ni kwamba sisi kama nchi ni lazima tutafute namna ya kutafuta fedha
Kwa ambao tuna-elimu ya anga na kujua potential yake itakuwa ni ajabu sana endapo tunashida ya fedha kama nchi na tukaacha kutumia hiyo potential ya market capitalization ya usd one quadrillion ambayo ipo kwenye space colonization
Hizo one quadrillion kwenye space colonisation zipo wapi hilo ndo swali la kujiuliza au utaniuliza zipo kwenye mambo yafuatayo
Kwa sasa hivi sisi kama nchi tunañafasi gani
- Space shuttle hapa namaanisha rockets
- Space mining hapa namaanisha uvunaji wa madini kwenye sayari mbalimbali
- Space tourism hapa namaanisha watu kutembelea sayari tofauti tofauti
- Multiplanetary business
- Kuwa sehemu ya kutengeneza mazingira ya space colonisation kwanini nasema hivyo kuna mambo mengi sana tumeshindwa kunufaika nayo kama nchi mfano;- manufacturing, natural resources, ambazo tunazo, pharmaceutical sasa hivi Artificial intelligence kama nchi tumeshindwa kunufaika navyo basi kwenye space colonization tusiwe nyuma kama ilivyozoeleka
Hii potential kama nchi ya Tanzania hatutakiwi kuikosa
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Mfano kwenye mwezi wa Jupiter europa kama sijakosea kule kuna mito ya gesi asiliaUmeona potential walizozichungulia wenzetu.
Of course wanabeti ila mkeka ukitiki unaweza kuta gafra wanabadilisha historia, science na teknolojia ya dunia, wanaweza kutana na deposites za almass labda dhahabu au hata undiscovered mineral materials zitakazoleta mapinduzi ya namna tunavyoendesha dunia.
Na mtafiti(USA) anapata courage ya kuwekeza kiasi hicho, kwani anajua akifanikiwa atakua untouchable hapa duniani.
ndicho kilichotokea hata enzi za ukoloni Britain walikua na makoloni mengi na yaliwanufaisha sana... Hii nikutokana na Uwekezaji wao wa kutafuta territory mpya na wakafanikiwa pakubwa sana kama kugundua America Australia nak
Mwanzo walikua wanang'an'ana na Middle East na far East.
Ila doctor shika akivuta bangi msumbufu na mauzi yake ya uraisi wa matejaHapa duniani hakuna industry ambayo imefikia market capitalization ya usd one quadrillion ni space colonization peke yake ndo ina-hiyo market capitalization na iko untapped kwa zaidi ya asilimia 90
Kuna watu wanasema wewe mtia nia wa urais wa Tanzania mbona hufocus na mambo kama huduma za maji, umeme, miundombinu, afya ambazo ndo changamoto kubwa inayowasumbua wafrika jibu ni kwamba sisi kama nchi ni lazima tutafute namna ya kutafuta fedha
Kwa ambao tuna-elimu ya anga na kujua potential yake itakuwa ni ajabu sana endapo tunashida ya fedha kama nchi na tukaacha kutumia hiyo potential ya market capitalization ya usd one quadrillion ambayo ipo kwenye space colonization
Hizo one quadrillion kwenye space colonisation zipo wapi hilo ndo swali la kujiuliza au utaniuliza zipo kwenye mambo yafuatayo
Kwa sasa hivi sisi kama nchi tunañafasi gani
- Space shuttle hapa namaanisha rockets
- Space mining hapa namaanisha uvunaji wa madini kwenye sayari mbalimbali
- Space tourism hapa namaanisha watu kutembelea sayari tofauti tofauti
- Multiplanetary business
NIKIWA RAIS WA TANZANIA SISI KAMA NCHI LAZIMA TUTAKUWA SEHEMU YA MARKET CAPITALIZATION YA ONE QUADRILLION USD YA SPACE COLONIZATION
- Kuwa sehemu ya kutengeneza mazingira ya space colonisation kwanini nasema hivyo kuna mambo mengi sana tumeshindwa kunufaika nayo kama nchi mfano;- manufacturing, natural resources, ambazo tunazo, pharmaceutical sasa hivi Artificial intelligence kama nchi tumeshindwa kunufaika navyo basi kwenye space colonization tusiwe nyuma kama ilivyozoeleka
Hii potential kama nchi ya Tanzania hatutakiwi kuikosa
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Doctor shika toka urusi katika mambo ya uraisi wa matejaKwa sasa hivi sisi kama nchi tunañafasi gani
- Kuwa sehemu ya kutengeneza mazingira ya space colonisation kwanini nasema hivyo kuna mambo mengi sana tumeshindwa kunufaika nayo kama nchi mfano;- manufacturing, natural resources, ambazo tunazo, pharmaceutical sasa hivi Artificial intelligence kama nchi tumeshindwa kunufaika navyo basi kwenye space colonization tusiwe nyuma kama ilivyozoeleka
Safari hii mpaka uongee kichina alafu hata sikuzingatii, sikuweki kwenye ignore list wala siwezi kukujibu unavyotakaDoctor shika toka urusi katika mambo ya uraisi wa mateja
We lichizi huna akili umefyatuka sehemu kunywa dawaSafari hii mpaka uongee kichina alafu hata sikuzingatii, sikuweki kwenye ignore list wala siwezi kukujibu unavyotaka
Endelea sababu unachangamsha uzi watu kama nyie ni muhimu sana
Usichoke tema nyongo zote faida yake ni kwamba unachangamsha uzi keep it upWe lichizi huna akili umefyatuka sehemu kunywa dawa