Spain waitisha dunia katika football

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
179
Under 21 wachukua Euro 2011. CL iko kwao, Euro kwao. World cup kwao. Natamani Tanzania ingekuwa SPAIN.

Hii timu ya under 21ya spain kuna wachezaji sita wa barcelona. Hii inatisha hapo ndio waingereza wanachoka. Wamejiandaa kwa muda mrefu na hatimaye wamezaa matunda.
 
ni kweli mkuu but hii thread hapa sio mahala pake!
 
Pole mkuu
Hii inatakiwa kwenye Idara ya Michezo
hapa ni MMU..
 
Hawa jamaa kwa kweli wanatisha, walijiandaa muda mrefu na sasa wanavuna walichopanda!
 
Kama mpira ni burudani basi wanaoburudisha si dhambi kuwapenda....Spain wapo mbali mkuu! Ni project ya muda mrefu!
 
Wanatisha kwakweli haya ndo matunda yakuinvest kwa vjana(youth)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…