Uchaguzi 2020 Spana za Lissu kwa siku 60 Vs miaka mitano ya Siasa kwa CCM

Uchaguzi 2020 Spana za Lissu kwa siku 60 Vs miaka mitano ya Siasa kwa CCM

Lisu anasababisha kamati za ulinzi kutolala
Naambiwa ccm wanakodi wasanii 106 sasa utaweza kujiuliza huyu magu aliyefanya mambo mengi inakuwaje anahitaji wasanii nchi nzima, huu mwaka kuna mtu atarusha ngumi
 
Mataga ndo tunaamka,

Ila Leo tumechelewa namba, naamin fimbo zitatuhusu, yaan Toka juu had na comment hakuna wa kijani ht mmoja

Kazi tunayo leo

Twende na lisu, *sasa basi*
 
Ccm imekuwa sawa na mtu unaemdai lkn yeye anaendelea kunenepa tu, ngoja lissu aanze kuwaeleza wananchi vile wanaidai ccm!
 
Back
Top Bottom