Kadoda nguku JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 332 Reaction score 475 Aug 6, 2020 #21 Lisu anasababisha kamati za ulinzi kutolala
tongelao JF-Expert Member Joined Nov 5, 2018 Posts 780 Reaction score 2,161 Aug 6, 2020 Thread starter #22 Kadoda nguku said: Lisu anasababisha kamati za ulinzi kutolala Click to expand... Naambiwa ccm wanakodi wasanii 106 sasa utaweza kujiuliza huyu magu aliyefanya mambo mengi inakuwaje anahitaji wasanii nchi nzima, huu mwaka kuna mtu atarusha ngumi
Kadoda nguku said: Lisu anasababisha kamati za ulinzi kutolala Click to expand... Naambiwa ccm wanakodi wasanii 106 sasa utaweza kujiuliza huyu magu aliyefanya mambo mengi inakuwaje anahitaji wasanii nchi nzima, huu mwaka kuna mtu atarusha ngumi
H hb Mujahideen Senior Member Joined Nov 23, 2019 Posts 152 Reaction score 164 Aug 6, 2020 #23 Mataga ndo tunaamka, Ila Leo tumechelewa namba, naamin fimbo zitatuhusu, yaan Toka juu had na comment hakuna wa kijani ht mmoja Kazi tunayo leo Twende na lisu, *sasa basi*
Mataga ndo tunaamka, Ila Leo tumechelewa namba, naamin fimbo zitatuhusu, yaan Toka juu had na comment hakuna wa kijani ht mmoja Kazi tunayo leo Twende na lisu, *sasa basi*
Agenda1 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,695 Reaction score 3,412 Aug 6, 2020 #24 Ccm imekuwa sawa na mtu unaemdai lkn yeye anaendelea kunenepa tu, ngoja lissu aanze kuwaeleza wananchi vile wanaidai ccm!
Ccm imekuwa sawa na mtu unaemdai lkn yeye anaendelea kunenepa tu, ngoja lissu aanze kuwaeleza wananchi vile wanaidai ccm!