INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

Ibnuyawar

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
49
Reaction score
155
Habari wana JamiiForums.

Kijana wenu bado nipo na mitikasi ya kupokea nini unahitaji nikupe mawazo, ushauri na unachohitaji kulingana na mahitaj yako.

Spare za magari kama Nissan, Toyota , Honda, Subaru, Mazda, Mitsubishi, hyundai, Suzuki.

Biashara ya spare kwa sasa haipingiki imekuwa na ushindani mkubwa sana Kwa nini uchague kwangu kulingana na bidhaa, ubora, huduma na bei.

Si lazima ununue kwangu, kipi unanunua na kina ubora gani piga simu au njoo dukani upate hata ushauri kwa bure kabisa.

GARI LAKO THAMANI KWETU [emoji594]

Spare zipo Ni wewe tu kupiga Simu uletewe ulipo au kuja dukani.

[emoji625]Ilala lindi/Shaurimoyo near Machinga Complex

[emoji338]0653527433/0789961893

[emoji597]Delivery inafanyika ndani ya Dar es Salaam na mikoani unatumiwa kwa uwaminifu.

IMG_20230524_104733_245.jpg
 
Nilikuuliza Knock sensor ya Mazda Demio, ukaniuliza engine code nikakupa, hujanipa jibu mpaka leo.
 
Nipe Bei ya steering rack ( spelling sina uhakika) ya Raum old model (y.o.m 2000)
 
Kwan kuna tofaut gani ya kiutendaji baina ya umeme na isiyo ya umeme
Yote kazi ni moja ispokuwa inategemea na engine yako imekujaje ila iyo ambayo haitumii umeme ipo vzur sana inapoza sana ata wanaouza Engine Wanazitoa ambazo sio za umeme waweke za umeme ili kidog wapate faida kwaio ni ww tuh boss wangu Wewe na uwezo wa mfuko tuh
 
Me npo Tanga hyo isiyo tumia umeme ( bei ndogo [emoji2] ) napaswa kufuata utaratibu upi ili inifikie?
 
Ni wewe tuh boss kama una mtu dar unampa Namba zangu aje kuchukua dukani Au unaweza kutuma pesa tukakutumia kwa basi Ikufikie ilipo
 
Nipe bei ya Set ya CV-Joint za Corrolla ya mwaka 2000, 110 yenye ABS.

0715 240 140
 
Back
Top Bottom