INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

Habari wana JamiiForums.

Kijana wenu bado nipo na mitikasi ya kupokea nini unahitaji nikupe mawazo, ushauri na unachohitaji kulingana na mahitaj yako.

Spare za magari kama Nissan, Toyota , Honda, Subaru, Mazda, Mitsubishi, hyundai, Suzuki.

Biashara ya spare kwa sasa haipingiki imekuwa na ushindani mkubwa sana Kwa nini uchague kwangu kulingana na bidhaa, ubora, huduma na bei.

Si lazima ununue kwangu, kipi unanunua na kina ubora gani piga simu au njoo dukani upate hata ushauri kwa bure kabisa.

GARI LAKO THAMANI KWETU [emoji594]

Spare zipo Ni wewe tu kupiga Simu uletewe ulipo au kuja dukani.

[emoji625]Ilala lindi/Shaurimoyo near Machinga Complex

[emoji338]0653527433/0789961893

[emoji597]Delivery inafanyika ndani ya Dar es Salaam na mikoani unatumiwa kwa uwaminifu.

MKUU NAHITAJI COIL SPARK ZA SUZUKI SWIFT ENGINE CODE M13A
 
Naam mkuu vipi naweza kupata gia box ya suzuki kei ?
Bei inasema je?
 
Habari wana JamiiForums.

Kijana wenu bado nipo na mitikasi ya kupokea nini unahitaji nikupe mawazo, ushauri na unachohitaji kulingana na mahitaj yako.

Spare za magari kama Nissan, Toyota , Honda, Subaru, Mazda, Mitsubishi, hyundai, Suzuki.

Biashara ya spare kwa sasa haipingiki imekuwa na ushindani mkubwa sana Kwa nini uchague kwangu kulingana na bidhaa, ubora, huduma na bei.

Si lazima ununue kwangu, kipi unanunua na kina ubora gani piga simu au njoo dukani upate hata ushauri kwa bure kabisa.

GARI LAKO THAMANI KWETU [emoji594]

Spare zipo Ni wewe tu kupiga Simu uletewe ulipo au kuja dukani.

[emoji625]Ilala lindi/Shaurimoyo near Machinga Complex

[emoji338]0653527433/0789961893

[emoji597]Delivery inafanyika ndani ya Dar es Salaam na mikoani unatumiwa kwa uwaminifu.

Rims size 15 for toyota ist nitapata kwa bei gani?
 
Nahitaji bearing za ist, vitz, noah, alphard na Rav 4 bei gani? Ziwe mpya
 
Habari za leo.
Unayo Brake Master Cylinder ya Land Cruiser Prado diesel ya mwaka 2001, engine no 1KD0867463, chasis no 1KDJ950025500. Model no KH-KDJ95W.
 
Back
Top Bottom