Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa una maswali acha!😀Spare Parts za Honda??????.
Hizo Alama za kuuliza umeweka kama urembo au huwa unatumia kwenye kila sentensi?
Hapana ujue watu hawajui matumizi ya hizo alama "Spare za Honda????" unashindwa kuelewa ni Swali au ni wito.We jamaa una maswali acha!😀
My favourite but not dream car (dream ingine)!! Hii gari ni mfululizo wa Land rover Discovery, Honda aliruhusiwa kuzalisha Discovery ila mkataba ukasitishwa then Honda alichofanya ni kudesign gari yake kupitia sifa za Discovery.
Huo ndiyo ukawa uzao wa Honda Crossroad ambayo ni 7seater SUV yenye CC chini ya 2000.
Kuhusu spare, dunia imekuwa kijiji sasa. Unaagiza baada ya wiki ushaipata na pia mawakala wanaoweza kukuagizia ni wengi tuu (huo ni mtizamo wangu).
Kuna zile zimefanyiwa body kit ndiyo ninavizia hiwa natembelea mara kwa mara, kuna moja niliiona Be forward body kit yake nzuri ila mileage ilisoma saaana nikasita kuagiza.
Ngoja tuone
Ni kweli, kwa sababu spea zake nyingi ni mpya, huwezi kupata spea zilizotumika kirahisi labda itokee gari ilipata ajali wakaichinja/kuikata ndio unapata, ndio maana ukiweka spea ni mkatabanimepata kuambiwa kuwa bei zake zimechangamka kidogo...ila ukifunga ni mkataba.
Habari Mkuu nipe mawili matatu kuhusu Honda Step wagon Spada. Ina ushuru kidogo kuliko Noah. Niko Shinyanga kwa Mwanza upo uwezekano wa kuwa na spears za Honda?Mimi ni mtumiaji wa Honda, (Honda Fit) kabla ya hapo nilikua na IST. Tofauti niliyo iona kati ya hizi gari mbili.
Honda iko stable sana bara barani (ukiwa speed 140Km/h na kuendelea haikuhamishi barabarani) ila jaribu kwa IST alafu upishane na roli, utajuta.
Ulani wa mafuta almost zinafanana.
Spare za honda ni expensive ila ni original, spare za IST nyingi ni za kichina.
Honda unaweza funga balljoint, bush, brake pad, zika kaa mwaka mzima, ila IST atleast kila miezi mitatu unabadirisha kwa hizi bara bara zetu.
Mimi nadhani kinachowashtua watu ni bei za haya magari kuwa ndogo hivyo watu wanahisi sio imara. Wanasahau demand and supply power.
IST nilinunua 11 million, Honda nimenunua 7million. Na zote zimetoka Japan, millage iko chini ya 50k
Sent using Jamii Forums mobile app
Vuta mkoko wewe acha kujiuliza maswali,vipuli vya chini mara nyingi vinaingiliana tu,na kwa Mwanza vipuli utapata tu maana Kenya na Uganda vipuli vya honda ni vya kumwagaHabari Mkuu nipe mawili matatu kuhusu Honda Step wagon Spada. Ina ushuru kidogo kuliko Noah. Niko Shinyanga kwa Mwanza upo uwezekano wa kuwa na spears za Honda?View attachment 1328534View attachment 1328536
Sent using Jamii Forums mobile app
My favourite but not dream car (dream ingine)!! Hii gari ni mfululizo wa Land rover Discovery, Honda aliruhusiwa kuzalisha Discovery ila mkataba ukasitishwa then Honda alichofanya ni kudesign gari yake kupitia sifa za Discovery.
Huo ndiyo ukawa uzao wa Honda Crossroad ambayo ni 7seater SUV yenye CC chini ya 2000.
Kuhusu spare, dunia imekuwa kijiji sasa. Unaagiza baada ya wiki ushaipata na pia mawakala wanaoweza kukuagizia ni wengi tuu (huo ni mtizamo wangu).
Kuna zile zimefanyiwa body kit ndiyo ninavizia hiwa natembelea mara kwa mara, kuna moja niliiona Be forward body kit yake nzuri ila mileage ilisoma saaana nikasita kuagiza.
Ngoja tuone
Hapana Mkuu, nilibadilisha wazo njiani! Mie kazi zangu nyingi za porini na milimani, nikahisi nitaichosha mapema!Mkuu vp ulifanikiwa kununua hii gari?
Ulinunua gari gani BossHapana Mkuu, nilibadilisha wazo njiani! Mie kazi zangu nyingi za porini na milimani, nikahisi nitaichosha mapema!
Kuna zimwi nililichukua linaninyonya damu balaa ila na enjoy nalo sana safari ndefu na pori!!