Spark plug

Spark plug

matinel

Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
24
Reaction score
33
Wakubwa naombeni mtu yeyote au fundi anaeweza nitafutia plug aina hii kwa dar najua mikoani haiwezi patikana
Picha nimeweka hapo chini
 
Attachments

  • Screenshot_20250221-163152_Chrome.png
    Screenshot_20250221-163152_Chrome.png
    616.3 KB · Views: 4
Matinel sasa tatizo lako umeshakandia mikoa mingine huwezi pata sasa tutakusaidiaje
Usije dhani dar ni kila kitu siku hizi utandawazi.
Arusha hakuna spear au kipuri cha mashine yeyote unaweza kosa
Kumbuka Arusha imepakana na Kenya Dar haijapakana na nchi yeyote
Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi
Usione Dar ni kubwa ukadhani kila kitu kipo
Arusha kuna mitaa ukipita kila sehemu kulia kushota wanauza spare za magari
Kuna sehemu zamani Arusha ilikuwa inaitwa Crokoni sijui kama bado papo basi pale hata injini ya ndege ukitaka unaweza pata.
Ukiweka uzi usikatishe watu wengine tamaa hapa tunasaidiana
Ngoja wajuzi waje wakusaidie ndugu yangu
 
Wakubwa naombeni mtu yeyote au fundi anaeweza nitafutia plug aina hii kwa dar najua mikoani haiwezi patikana
Picha nimeweka hapo chini
Mkuu hii ni double ridium? Ni kwa ajili ya gari gani mkuu, au nissan?
 
Ndiyo ni ya nissan ya mwaka 2010
 
Attachments

  • Screenshot_20250222-184613_Instagram.png
    Screenshot_20250222-184613_Instagram.png
    1.1 MB · Views: 2
Ndiyo ni ya nissan ya mwaka 2010
Mtafte jitu la miraba minne mkuu anaweza kukusaidia. Bila shaka inakusumbha kustuka stuka kila plug unazoweka hazikai hata 1000km inaanza tena stuka stuka
 
Watafute hawa jamaa utazipata website yao hiyo chukua namba wasiliana nao japo bei zao siyo haba lakini utapata kitu original,wapo Gerezani kule Mwendokasi Terminal.

Sifa moja ni kwamba hawa ndiyo agent mkuu wa NGK plugs kwa ukanda huu.
 
Mtafte jitu la miraba minne mkuu anaweza kukusaidia. Bila shaka inakusumbha kustuka stuka kila plug unazoweka hazikai hata 1000km inaanza tena stuka stuka
Ndyo baba yani ni shida aisee
 
Ndyo baba yani ni shida aisee
Huo ni uginjwa mkubwa wa nissan xtrail na dualis mpaka upate plug OG. Kuna kipindi ulinitafunia ela naweka plug hazifiki hata 500km unaanza yani nlinunua plug nusura kuchanganyiwa hadi nlipopata og
 
Huo ni uginjwa mkubwa wa nissan xtrail na dualis mpaka upate plug OG. Kuna kipindi ulinitafunia ela naweka plug hazifiki hata 500km unaanza yani nlinunua plug nusura kuchanganyiwa hadi nlipopata og
Sasa wewe ulizipata wapi baba
 
Back
Top Bottom