Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namparaje huyu babaJituMirabaMinne anazo mtafute
0621 221 606Namparaje huyu baba
Kwamba mikoani Haiwezekani kupatikana🙄🙄Wakubwa naombeni mtu yeyote au fundi anaeweza nitafutia plug aina hii kwa dar najua mikoani haiwezi patikana
Picha nimeweka hapo chini
Mkuu hii ni double ridium? Ni kwa ajili ya gari gani mkuu, au nissan?Wakubwa naombeni mtu yeyote au fundi anaeweza nitafutia plug aina hii kwa dar najua mikoani haiwezi patikana
Picha nimeweka hapo chini
Nisamehe kaka basi tu nina imani na dar kulingana na eneo niliko kaka nisameheMatinel sasa tatizo lako umeshakandia mikoa mingine huwezi pata sasa tutakusaidiaje
Usije dhani dar ni kila kitu siku hizi utandawazi
Hii kuipata ni lazima uende kwa TrumpWakubwa naombeni mtu yeyote au fundi anaeweza nitafutia plug aina hii kwa dar najua mikoani haiwezi patikana
Picha nimeweka hapo chini
Nisamehe broKwamba mikoani Haiwezekani kupatikana🙄🙄
Mtafte jitu la miraba minne mkuu anaweza kukusaidia. Bila shaka inakusumbha kustuka stuka kila plug unazoweka hazikai hata 1000km inaanza tena stuka stukaNdiyo ni ya nissan ya mwaka 2010
ahsante ndugu yangu kuteleza si kuanguka tuko pamoja ngoja wajuzi wajeNisamehe kaka basi tu nina imani na dar kulingana na eneo niliko kaka nisamehe
Ndyo baba yani ni shida aiseeMtafte jitu la miraba minne mkuu anaweza kukusaidia. Bila shaka inakusumbha kustuka stuka kila plug unazoweka hazikai hata 1000km inaanza tena stuka stuka
Huo ni uginjwa mkubwa wa nissan xtrail na dualis mpaka upate plug OG. Kuna kipindi ulinitafunia ela naweka plug hazifiki hata 500km unaanza yani nlinunua plug nusura kuchanganyiwa hadi nlipopata ogNdyo baba yani ni shida aisee
Thanks mkuuHOME | Gathani Limited
www.gathaniltd.com
Watafute hawa jamaa utazipata website yao hiyo chukua namba wasiliana nao japo bei zao siyo haba lakini utapata kitu original,wapo Gerezani kule Mwendokasi Terminal.
Sifa moja ni kwamba hawa ndiyo agent mkuu wa NGK plugs kwa ukanda huu.
Sasa wewe ulizipata wapi babaHuo ni uginjwa mkubwa wa nissan xtrail na dualis mpaka upate plug OG. Kuna kipindi ulinitafunia ela naweka plug hazifiki hata 500km unaanza yani nlinunua plug nusura kuchanganyiwa hadi nlipopata og