kwani we ni kama nani hapa mjengoni
Nimerudi mjengoni tena baada ya kuwekewa kauzibe na watu Fulani ila nawapa pole sana waliofungiwa nyuma yangu na kundi hilo hilo la watu pole zenu ziwafikie Hollygrail, matola, bilionare pitgan na wengine kwa yaliyowakuta pongezi nyingi kwa Desert Storm kuendeleza ligi nilipochongewa ila nawatumia salaam Lusungo na Dinazarde kwamba nimerudi rasmi kazi ndo inaanza.
CC: Mwanamutapa, Excel, Desert Storm, Karucee
haha..hyo kaliNi kama wewe neither a owner nor a shareholder
Unajitangaza sana umaarufu utakuja tu
Hapa ukisema jambo waweza kuangukiwa na tusi.
Ahsante kunfumbua macho.
Hawa madogo wanahitaji bakora humu
kwani we ni kama nani hapa mjengoni
Niacheni kwanza nidili na mchakato wa katiba.
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Hahahahah bora umuulize maana anamihemko balaa
Nimerudi mjengoni tena baada ya kuwekewa kauzibe na watu Fulani ila nawapa pole sana waliofungiwa nyuma yangu na kundi hilo hilo la watu pole zenu ziwafikie Hollygrail, matola, bilionare pitgan na wengine kwa yaliyowakuta pongezi nyingi kwa Desert Storm kuendeleza ligi nilipochongewa ila nawatumia salaam Lusungo na Dinazarde kwamba nimerudi rasmi kazi ndo inaanza.
CC: Mwanamutapa, Excel, Desert Storm, Karucee
hellow! -- - mambo mtoto mzuri! jamani avatar yako tu! mwenzio nakufa!Nimepotea njia ooor .....