Nimerudi mjengoni tena baada ya kuwekewa kauzibe na watu Fulani ila nawapa pole sana waliofungiwa nyuma yangu na kundi hilo hilo la watu pole zenu ziwafikie Hollygrail, matola, bilionare pitgan na wengine kwa yaliyowakuta pongezi nyingi kwa Desert Storm kuendeleza ligi nilipochongewa ila nawatumia salaam Lusungo na Dinazarde kwamba nimerudi rasmi kazi ndo inaanza.
CC: Mwanamutapa, Excel, Desert Storm, Karucee
CC: Mwanamutapa, Excel, Desert Storm, Karucee