Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
We hua unakua wapi lazima uzikoseee
Ndio unajibu saivi kushakucha aaagh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hua unakua wapi lazima uzikoseee
Hiyo avatar yako, naona unakuwa super staa wa Jf hadi kwenye headline umawekwa duh
Ndio unajibu saivi kushakucha aaagh!
We muarabu ushaamka mara hii? Au leo huko na shemeji nn!!
Ugomvi wa Nyani unaujua wewe?
hahahah mnataka kuharibu chemistry nyie mi simoo
Hivi Lusungo umeamua kuchenj avatar kutumix?
Hang over ya kutoka kifungoni inasumbua sana..............
Nimelala kwa raha zangu miee eee yeye ndie chanzo cha umesahau asingeanzisha uzi yangetokea hayaa ngoja akija mim na yeye ligii akasema kibeba box mi namchana kiarabu tu
Ngoja na mie nije nibadiliiii
Qwi qwi qwi whwaaaaaaaaaaaaa yani unawaza league mapema hivi
Wewe jana ulikuaa wapiii halaf kama wanajuaa network imetulia kwelii yaan humu sitokii najua we ni mzee wa kusepaa
Mi wala sikufurahii nakucheka kwa dharau tuuu.....
Unahangaika na furushi la ID kibaao kama mtoto....
Ungekua mtafutaji usingeacha furushi la ID nyingi likuelemee namna hiyo...
Nasikia hizi avatar zinauza sana mambo ya Pm
Ulikua hujui hebu badili na wewe weka hata ya ronaldo utauza sana pm
Mi sina time ya pm, tunaishia hapa hapa kwenye siredi na vile najiamini natumia picha yangu halisi mi sio km wewe bana
Mbona huyo ni mimii wewweee au hujuii
'Over my dead body' -Mwigulu 2014