Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

unaweza ukawa umeishi miaka 70 ukatafuta umaarufu na usiupate,lakini akaja mtoto wa miaka 9 akapanda kwenye transfoma siku moja tu na akapata umaarufu....Kujulikana hakutafutwi ila unakutafuta...
Hii I'd sijaona muda
 
Unabandoned bundle. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bila shaka ni mimi lusungo nilikuwa napitia pitia chit-chat ya enzi zenu bhana

Nimecheka sana.... Huyo jamaa na alowataja walisumbua mno hapa hivyo tukawadhibiti sasa akaamua kutuanzishia uzi baada ya kutoka jela....

Nilikuja cheka zaidi nilipobaini mwanzisha uzi alikua jirani yangu huko USA ahahahahaha

Long live chit-chat itabidi nirudi aisee....
 
Hahaha.

Aseeh huku usirudi maana hautaweza kwendana na kasi ya vijana utaishia kununa na kugombana na sisi kila siku.
 
Back
Top Bottom