Teh teh enzi za RAS WISER sitaki kumbuka aisee hahha
Hii I'd sijaona mudaunaweza ukawa umeishi miaka 70 ukatafuta umaarufu na usiupate,lakini akaja mtoto wa miaka 9 akapanda kwenye transfoma siku moja tu na akapata umaarufu....Kujulikana hakutafutwi ila unakutafuta...
Acha ushushu [emoji12]Unabandoned bundle. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nitaachaje kwa mfano na MB zote nilizonazo hapa...Acha ushushu [emoji12]
[emoji38] [emoji38]Ngoja niufufue na huu uzi... JF ina mambo sana kumbe
Hahahahaaaa I miss you brohNgoja niufufue na huu uzi... JF ina mambo sana kumbe
You are very much missed sis..Hahahahaaaa I miss you broh
Napita tu kaka,hata 'kule kwingine' nilipita bila kuacha alama...sijui wewe [emoji4]You are very much missed sis..
Unapita au unakaa hapa?
Hahahahah kuna mtu ka like post ndo nimeukumbuka huu uzi nikacheka sana!!Acha ushushu [emoji12]
Nambie mrembo[emoji38] [emoji38]
We mchaga ngoja nikufungulie Uzi namieYou are very much missed sis..
Unapita au unakaa hapa?
Nimekununia wewe[emoji17]Nambie mrembo
hahahaha hutapata wachangiaji sababu mie humu sio maarufu..We mchaga ngoja nikufungulie Uzi namie
Na ole wako unigeuke[emoji85]
Hahahaha umeninunia kwanini mrembo?Nimekununia wewe[emoji17]
Bila shaka ni mimi lusungo nilikuwa napitia pitia chit-chat ya enzi zenu bhana
Hahaha.Nimecheka sana.... Huyo jamaa na alowataja walisumbua mno hapa hivyo tukawadhibiti sasa akaamua kutuanzishia uzi baada ya kutoka jela....
Nilikuja cheka zaidi nilipobaini mwanzisha uzi alikua jirani yangu huko USA ahahahahaha
Long live chit-chat itabidi nirudi aisee....
Hahahahah,Hahaha.
Aseeh huku usirudi maana hautaweza kwendana na kasi ya vijana utaishia kununa na kugombana na sisi kila siku.