Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hahahahah bora umuulize maana anamihemko balaa
Hahhhahhha natamani kufa mbavu zangu jamaniii
niambieni vijana wangu!
kazi inaendaje mjengoni hapa???
kuna document nyeti zimepotea??
niambieni vijana wangu!
kazi inaendaje mjengoni hapa???
kuna document nyeti zimepotea??
Naona kijana kapandisha mahoka hahahah
hellow! -- - mambo mtoto mzuri! jamani avatar yako tu! mwenzio nakufa!
hmm! hiki ni kijaluo ama?Role of model who? Your persona non grata to me to carry such weight I just mentioned you as the part of the group. Did
you see after your comment on of your protégée came out of closet?
Naona watoto mnacheza gololi, mdako, makidamakida...
Akija yule rafiki yangu wa hapo mtaa wa pili, mwambieni mimi kaka yenu nipo ndani nacheza kombolela ya kikubwa na shemeji yake...
unaweza ukawa umeishi miaka 70 ukatafuta umaarufu na usiupate,lakini akaja mtoto wa miaka 9 akapanda kwenye transfoma siku moja tu na akapata umaarufu....Kujulikana hakutafutwi ila unakutafuta...
jamani it is very romantic!! vere cutie!Taratibu baba ukifa mkeo atabaki na nan???
Unataka nini kweny avatar yangu
ndo maana mi huwa naku-feel sana! mtoto una akili sana wewe! hebu pata kichuri wakati tukiendelea na maongezi! lols!unaweza ukawa umeishi miaka 70 ukatafuta umaarufu na usiupate,lakini akaja mtoto wa miaka 9 akapanda kwenye transfoma siku moja tu na akapata umaarufu....Kujulikana hakutafutwi ila unakutafuta...
hmm! hiki ni kijaluo ama?
kwa kweli nimetoka kapa!
hebu niwekee version ya kiswahili bana!
Mmmmhhh umeona mwarabu wako nipo kifungonii leo
jamani it is very romantic!! vere cutie!
hivi umeolewa mamii?.. dah! nshaanza kubadilika kwenye air condition ov ze nanii! lols!
Role of model who? Your persona non grata to me to carry such weight I just mentioned you as the part of the group. Did
you see after your comment on of your protégée came out of closet?