Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
wow! hilo ndo neno sasa kutoka kwa mrembo kama wewe!Oooh come this way ila miss wako mtaarifu
Naona watoto mnacheza gololi, mdako, makidamakida...
Akija yule rafiki yangu wa hapo mtaa wa pili, mwambieni mimi kaka yenu nipo ndani nacheza kombolela ya kikubwa na shemeji yake...
hahahaaaa!!! mi nilijua kilatini...!!Hahhhhahhhhahhhahha umeandikiwa kibeba box wacha weee si bora tuendelee na mim tu naandika kiswahilio
ntarudi....
hahahaaaa!!! mi nilijua kilatini...!!
haya, the return of ze ... ntarudi! lols!
ntagecha mtu muda si mrefu kulaleki! ngojeni tu!
Role of model who? Your persona non grata to me to carry such weight I just mentioned you as the part of the group. Did
you see after your comment on of your protégée came out of closet?
Kifungo cha shati au suruali?
Jembe langu Spartakas tumekumiss kujadili katiba njoo haraka kule ukashushe nondo, ukiwa kifungoni Jk katukana Tume ya Warioba, Zanzibar wamejitangazia nchi, Lowassa katoa noti mpya za 50,000 zenye sura yake, Tume ya Warioba imevunjwa kinyamela, Tanzania sasa hizi ni nchi mbili serikali mbili badala ya nchi moja serikali mbili na TB Joshua alitabiri Malaysia Airline 370 kupatikana Newala. Njoo kamanda mambo mengi sana ila kwa sasa ni katiba nafurahi kujua na huku unapitapita
Ptuuuuuuu!
Unatuumiza kichwa kwa English yako mbaya kojoa ukalale tu usiilazimishe hiyo lugha utaaibika bure....
Kaharibu wap hapo? Hebu kosoa kama sio kujiongelea kwa donge? Huna jipya kumbe
loooh! mwanamke mzururaji wewe!!
mambo gani hayo ya kunichungulia mi na madame b!
afu usimuite bana, sio vizuri....! lols!
Ha ha ha mzima wewe...ulijueje??? Sema ukwel
Kama nawewe hujaona grammatical errors hapo nimekusharau sana
ni kweli....Uhuru wa kutoa maoni uheshimiwe.