Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

niambieni vijana wangu!

kazi inaendaje mjengoni hapa???

kuna document nyeti zimepotea??

Mmmmhhh Muraa hazijapoteaaa zipo juu hapo ya kabati naona moja imedondoka chinii labda mwite mkeo missneddy akuokotee
Naona umeitwaaa hahhhahhha naumwa mbavu mwenzio nitumie dawa ganii atii
 
Last edited by a moderator:
lusungo leo network imekaa vizurii yaan ningepitwaa mambo matamu mie lol
 
Last edited by a moderator:
unaweza ukawa umeishi miaka 70 ukatafuta umaarufu na usiupate,lakini akaja mtoto wa miaka 9 akapanda kwenye transfoma siku moja tu na akapata umaarufu....Kujulikana hakutafutwi ila unakutafuta...
 
Naona watoto mnacheza gololi, mdako, makidamakida...

Akija yule rafiki yangu wa hapo mtaa wa pili, mwambieni mimi kaka yenu nipo ndani nacheza kombolela ya kikubwa na shemeji yake...
 
Role of model who? Your persona non grata to me to carry such weight I just mentioned you as the part of the group. Did
you see after your comment on of your protégée came out of closet?
hmm! hiki ni kijaluo ama?

kwa kweli nimetoka kapa!

hebu niwekee version ya kiswahili bana!
 
Naona watoto mnacheza gololi, mdako, makidamakida...

Akija yule rafiki yangu wa hapo mtaa wa pili, mwambieni mimi kaka yenu nipo ndani nacheza kombolela ya kikubwa na shemeji yake...

Mmmmhhh umeona mwarabu wako nipo kifungonii leo
 
unaweza ukawa umeishi miaka 70 ukatafuta umaarufu na usiupate,lakini akaja mtoto wa miaka 9 akapanda kwenye transfoma siku moja tu na akapata umaarufu....Kujulikana hakutafutwi ila unakutafuta...

Lupita vipi ni wa zamani au wa juzii heby nisaidieee
 
Taratibu baba ukifa mkeo atabaki na nan???
Unataka nini kweny avatar yangu
jamani it is very romantic!! vere cutie!

hivi umeolewa mamii?.. dah! nshaanza kubadilika kwenye air condition ov ze nanii! lols!
 
unaweza ukawa umeishi miaka 70 ukatafuta umaarufu na usiupate,lakini akaja mtoto wa miaka 9 akapanda kwenye transfoma siku moja tu na akapata umaarufu....Kujulikana hakutafutwi ila unakutafuta...
ndo maana mi huwa naku-feel sana! mtoto una akili sana wewe! hebu pata kichuri wakati tukiendelea na maongezi! lols!

utaipenda....
 
jamani it is very romantic!! vere cutie!

hivi umeolewa mamii?.. dah! nshaanza kubadilika kwenye air condition ov ze nanii! lols!

Oooh come this way ila miss wako mtaarifu
 
Role of model who? Your persona non grata to me to carry such weight I just mentioned you as the part of the group. Did
you see after your comment on of your protégée came out of closet?

Ptuuuuuuu!

Unatuumiza kichwa kwa English yako mbaya kojoa ukalale tu usiilazimishe hiyo lugha utaaibika bure....
 
Back
Top Bottom