Speaker za kuchongesha bei gani wakuu

Speaker za kuchongesha bei gani wakuu

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Tafadhali anaejua bei za speaker za kuchonga saizi ya kati inauzwaje aniambie bei au kama anajua wapi naweza pata, Kuna posho ya maji ya kunywa Asanteni.
 
Kuna uzi humu wa maspika kuna watu wanachonga humo
Iringa kuna mmoja anaitwa wicalu he is good
Subiri niutafte huo uzi
 
Huo
 
Kumbe kuna spika za kuchongwaaa
Unafikiri spika huwa zinafinyangwa 😂

Zote ni za kuchonga, ila ukitengeneza kwa fundi anakutengenezea kwa namna unavyotaka mlio wa sauti utoke, pia ni cheap as some spears ni used. Wanapenda wale wenye mageto ya kichoku😂
 
Kwahiyo naweza taka litoke bezii zito maana amapiano inataka bezi ziito
 
Kwahiyo naweza taka litoke bezii zito maana amapiano inataka bezi ziito
Eeh ni wewe tu, lakin kuna siku utahitaji treble, na mziki mnono ni ule unaskia kila aina ya kifaa kilichotumika kwenye mziki, ko ni wewe sasa kama utakuwa unatumia Twita za nje,au built in
 
Back
Top Bottom