nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
HuoKodtec Speaker systems
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers. Kishindo cha mziki wenye vipimo madhubuti ambacho sikukitegemea kilipenya katika ngoma zangu za masikio...www.jamiiforums.com
Kumbe kuna spika za kuchongwaaa
Unafikiri spika huwa zinafinyangwa 😂Kumbe kuna spika za kuchongwaaa
Kwahiyo naweza taka litoke bezii zito maana amapiano inataka bezi ziitoUnafikiri spika huwa zinafinyangwa 😂
Zote ni za kuchonga, ila ukitengeneza kwa fundi anakutengenezea kwa namna unavyotaka mlio wa sauti utoke, pia ni cheap as some spears ni used. Wanapenda wale wenye mageto ya kichoku😂
Eeh ni wewe tu, lakin kuna siku utahitaji treble, na mziki mnono ni ule unaskia kila aina ya kifaa kilichotumika kwenye mziki, ko ni wewe sasa kama utakuwa unatumia Twita za nje,au built inKwahiyo naweza taka litoke bezii zito maana amapiano inataka bezi ziito
Subwoofer ni kwa vile tunaish magheto, lakin vile vidude vyake vya nje (twita) vinaharibu mziki,Kwahiyo naweza taka litoke bezii zito maana amapiano inataka bezi ziito
Kwann mkuuSubwoofer ni kwa vile tunaish magheto, lakin vile vidude vyake vya nje (twita) vinaharibu mziki,
Mziki unachelewa kufika kwenye Twita 😂 unaposafiri kwenye nyaya 😂Kwann mkuu