Spears utaagiza online ama Dubai.

Hivi kama gari ikiharibika ni lazima Spare uipate siku hiyohiyo na ifungwe siku hiyo hiyo, yaani gari lisipaki kusubiri spare halisi na inayofaa?
Na je ni kosa kuagiza spare nje ya nchi? Mbona magari tunaagiza Japan lakini Spare tunaogopa kuagiza?
Nilichojifunza hadi sana ni kwamba Watanzania Ujinga bado ni tatizo kubwa sana.
Hakuna independent thinking, wote tunalazimishwa tuishi na kufikiri kama wengine.
 
Hata ukipeleka gari kwa authorized dealer lazima utapewa timeframe ya siku ya kuchukua gari yako.

Kama spares zimeisha wataagiza nyingine wakufungie. Kuagiza spares sio kitu cha ajabu.

Usipoagiza wewe makampuni yanayokufanyia service watakuagizia.
 
Boss, umekosea kuita watu wapumbavu. Kuagiza vipuri vya magari siyo jambo la ajabu! Na vilevile kama mtu huyo hakuathiri wewe na maisha yako, kuna tatizo gani?

Kwani kupanda daladala kuna shida gani? Vilevile kuna bajaj, taxi (bolt, uber, little n.k.). Watu waishi wapendavyo ili mradi hawavunji sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…