Special announcement to new students for 2013/2014 academic year

Hiii uyu Chatt55 kumbe ni mwana-udsm...haa bana unatuangusha kabisa @ @oilsumu,mwambie jamaa ako kutu.TEKUkisha

Nilikuwa naipromot web ya teKU wamepata visitors (counter) wengi mpaka wameshangaa, wamevunja rekodi
 
Last edited by a moderator:
yaan nia na madhumuni yako kuweka chuo hk ni nn unakikejeli au!!!! sio fresh umezingua hata kama sipo chuo hicho ila so mpango umeniboa sana....!!!!
Waombe msamaha wahusika sio poa!!!!!
 
jamani hichi chuo kiko wapi,??niliomba UDSM nika pangwa TEKU,nisaidieni jamani,mtumishi wa Mungu nimepewa TEKU nikafanye Huduma jamani,
 
kinaitwa TEOFILO ukiingia hapo juu palipoandikwa CLICK HERE utaona maelezo yote kuhusu hicho chuo!!!
 
jamani hichi chuo kiko wapi,??niliomba UDSM nika pangwa TEKU,nisaidieni jamani,mtumishi wa Mungu nimepewa TEKU nikafanye Huduma jamani,

kipo mbeya ukiingia kwenye website yao utaona akina mama wanacheza kwaya.
 
Mbu-pu lako,unatupeleka vyuo vya kienyeji mkipigwa mabango mnalalamika...eti kilikua theological centre ya morovian leo kimekua chuo...page yenyewe imepooza utasema ni chuo cha wale+mavu wa macho

mungu akutazame kwa kashfa zako walemavu wa macho hawakuomba wazaliwe hivyo jaribuni kukua acha ungese ww
 
Nilikuwa naipromot web ya teKU wamepata visitors (counter) wengi mpaka wameshangaa, wamevunja rekodi

Khaaaaaa!!!!... hivi ni nani aliyekwambia wana shida na visitors??....wewe una akili sawasawa kweli wewe???...waombe radhi wana teku tafadhali
 
Sorry teKU's nia yangu niwape promo kwa wanao wakejeri.
Vilevile kuwapa taarifa kwamba mmebadilishiwa tarehe ya kuripoti chuo chenu.
Nadhani wa teKU wote mlio be directed to that link no one complained ila Mazombie machache ambayo hayajui elimu ni nini ndo yanachonga ka Mbwiga mbwiguke.
Sorry brothers.
 
Back
Top Bottom