DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
HahahahaaKila post Anayopost Mshana Jr lazma Ubena Zomozi aende azawadie Dislike kwnini?
Ila kinachonifurahisha ni kwamba Amesoma Kila post zinazopostiwa na Mshana maana yale anafatilia somo pia
toa elimu kaka, napenda sana siku moja nivae gemstone.Kwenye maswala ya mawe na kiroho tutasaidiana kidgo nna elimu nayo
mkuu Mshana watu wengi hatujui maana uchawi, inabidi utoe somo hapa. Wengi wetu tumejawa na mitazamo hasi khs hilo swala.Hapa si kwa ajili ya mambo hayo.. Na kanuni za uchawi hazifanyi Kazi hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa mkuu nitafanya hivyo nikituliamkuu Mshana watu wengi hatujui maana uchawi, inabidi utoe somo hapa. Wengi wetu tumejawa na mitazamo hasi khs hilo swala.
ukiwa huru naomba utoe somo kuhusu 5 signs of -ve spirit attachment📎
Ok ni mpaka pale akili ikinikaa vizuritoa elimu kaka, napenda sana siku moja nivae gemstone.
Poapoa ile sio kwa siku mbili hizi maana nimebanika mpaka mechi ipiteukiwa huru naomba utoe somo kuhusu 5 signs of -ve spirit attachment[emoji420]
Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu) Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)-The Key of Solomon ni balaa na ndio maarufu zaidi
- The Devil's Graveyard
Hiki kitabu hakina Mwandishi, kinahusu ushirikina wa jangwani
Mara ya kwanza kiliandikwa karne ya pili yaani miaka ya 1200's na Mwandishi huyohuyo asiyejulikana
Inasadikiwa kiliandikwa na Aliens waliojenga Pyramid of Giza pamoja na Sanamu za visiwa vya Mashariki (The statue of Eastern Island) vilivyojengwa mwaka 1250
Makaburi ya Ibilisi ni eneo la jangwa. Makao yake pekee ni kituo kidogo cha mafuta kando ya barabara, na hoteli kubwa, ambapo fainali ya shindano la uimbaji la Back From the Dead inafanyika, ambapo washindani hushindana kwa kuiga nyota zilizokufa. Isipokuwa kwamba mtu anawaua. . .[emoji3064][emoji3064][emoji3064]-The Key of Solomon ni balaa na ndio maarufu zaidi
- The Devil's Graveyard
Hiki kitabu hakina Mwandishi, kinahusu ushirikina wa jangwani
Mara ya kwanza kiliandikwa karne ya pili yaani miaka ya 1200's na Mwandishi huyohuyo asiyejulikana
Inasadikiwa kiliandikwa na Aliens waliojenga Pyramid of Giza pamoja na Sanamu za visiwa vya Mashariki (The statue of Eastern Island) vilivyojengwa mwaka 1250
Hivi Mshana Jr bado hajapatikana mtu wa kutafsiri Codex Seraphinianus kweli?Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu) Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh sidhani aiseeHivi Mshana Jr bado hajapatikana mtu wa kutafsiri Codex Seraphinianus kweli?
Vinaishi kiroho.. Roho ndio kila kituHii dunia kuna mengi sana siyajui, hivi naomba kuuliza huko kwenye ulimwengu wa kiroho viumbe vina ishi vp?
Mkuu tupia pdf kabisa tupite nayoToleo maalum la mambo ya kiroho, ushirikina na imani juu ya miujiza..Hii itakuwa mada kubwa na pana kwakuwa hapa chini nitaweka titles za vitabu na machapisho mbali mbali vyenye kuhusiana na mawanda tajwa hapo juu...
Uchambuzi utafanyika kufuatana na maombi ya watakaotaka kufahamu walau kwa utangulizi ama udadavuzi usiochukua aya ndefu ndefu za kuchosha kusoma
Nia si kufundishana ushirikina ama vinginevyo bali ni kupeana elimu na maarifa. Elimu ni silaha kubwa na muhimu kwenye haya maisha
Nitaweka picha za vitabu au machapisho kama hatua ya awali kisha kila wakati tutachukua kimoja na kukichambua kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili ili iwe rahisi kueleweka na wengi
Uchambuzi si lazima nifanye mimi bali kila atayetaka atafanya kwa kuchagua kimojawapo
Naweka mapichapicha kwanza.. Mnivumilie yatakuwa mengi
View attachment 2799438
Sent using Jamii Forums mobile app