Special edition: Spiritual n witchcraft intros

Special edition: Spiritual n witchcraft intros

-The Key of Solomon ni balaa na ndio maarufu zaidi

- The Devil's Graveyard

Hiki kitabu hakina Mwandishi, kinahusu ushirikina wa jangwani

Mara ya kwanza kiliandikwa karne ya pili yaani miaka ya 1200's na Mwandishi huyohuyo asiyejulikana

Inasadikiwa kiliandikwa na Aliens waliojenga Pyramid of Giza pamoja na Sanamu za visiwa vya Mashariki (The statue of Eastern Island) vilivyojengwa mwaka 1250
 
Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu) Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-The Key of Solomon ni balaa na ndio maarufu zaidi

- The Devil's Graveyard

Hiki kitabu hakina Mwandishi, kinahusu ushirikina wa jangwani

Mara ya kwanza kiliandikwa karne ya pili yaani miaka ya 1200's na Mwandishi huyohuyo asiyejulikana

Inasadikiwa kiliandikwa na Aliens waliojenga Pyramid of Giza pamoja na Sanamu za visiwa vya Mashariki (The statue of Eastern Island) vilivyojengwa mwaka 1250
Makaburi ya Ibilisi ni eneo la jangwa. Makao yake pekee ni kituo kidogo cha mafuta kando ya barabara, na hoteli kubwa, ambapo fainali ya shindano la uimbaji la Back From the Dead inafanyika, ambapo washindani hushindana kwa kuiga nyota zilizokufa. Isipokuwa kwamba mtu anawaua. . .[emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toleo maalum la mambo ya kiroho, ushirikina na imani juu ya miujiza..Hii itakuwa mada kubwa na pana kwakuwa hapa chini nitaweka titles za vitabu na machapisho mbali mbali vyenye kuhusiana na mawanda tajwa hapo juu...

Uchambuzi utafanyika kufuatana na maombi ya watakaotaka kufahamu walau kwa utangulizi ama udadavuzi usiochukua aya ndefu ndefu za kuchosha kusoma
Nia si kufundishana ushirikina ama vinginevyo bali ni kupeana elimu na maarifa. Elimu ni silaha kubwa na muhimu kwenye haya maisha

Nitaweka picha za vitabu au machapisho kama hatua ya awali kisha kila wakati tutachukua kimoja na kukichambua kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili ili iwe rahisi kueleweka na wengi

Uchambuzi si lazima nifanye mimi bali kila atayetaka atafanya kwa kuchagua kimojawapo
Naweka mapichapicha kwanza.. Mnivumilie yatakuwa mengi

View attachment 2799438

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupia pdf kabisa tupite nayo
 
Back
Top Bottom