Special edition: Spiritual n witchcraft intros

Special edition: Spiritual n witchcraft intros

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Toleo maalum la mambo ya kiroho, ushirikina na imani juu ya miujiza..Hii itakuwa mada kubwa na pana kwakuwa hapa chini nitaweka titles za vitabu na machapisho mbali mbali vyenye kuhusiana na mawanda tajwa hapo juu...

Uchambuzi utafanyika kufuatana na maombi ya watakaotaka kufahamu walau kwa utangulizi ama udadavuzi usiochukua aya ndefu ndefu za kuchosha kusoma
Nia si kufundishana ushirikina ama vinginevyo bali ni kupeana elimu na maarifa. Elimu ni silaha kubwa na muhimu kwenye haya maisha

Nitaweka picha za vitabu au machapisho kama hatua ya awali kisha kila wakati tutachukua kimoja na kukichambua kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili ili iwe rahisi kueleweka na wengi

Uchambuzi si lazima nifanye mimi bali kila atayetaka atafanya kwa kuchagua kimojawapo
Naweka mapichapicha kwanza.. Mnivumilie yatakuwa mengi

Hidden%20Secrets%20Of%20Solitary%20Witchcraft_%20Tips%20For%20The%20Solitary%20Witch.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom