Special for me and you

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,829
Habari tena wanajf..namefanya tathimini,wanajf nimegundua tunamasihara,yani tupo kwa jili ya kupoteza muda.wachache sana utakuta wanaongea serious,jamani mtu mpaka aeleze tatizo lake ni kwamba anahitaj ushauri sio masihara..tujirekebisheni basi.tuwe serious kwa wale wanaotaka ushaur.
 
Owwwkeyyy.....!!!!

Japo sijaona muungano kati ya kichwa na mwili!!
 
tatizo dadangu Lizzy uko addicted na MMU..

Haya tena...hapa napo naona nyota nyota tu!!Tatizo ni nini?!Linahusiana vipi na kilichoandikwa hapo juu?!Kua addicted na MMU kuko vipi?!Umethibitisha wapi kwamba mimi niko addicted?!Na hata kama ningekua addicted kweli tatizo lingekua wapi!!?

Najaribu tu kuelewa...
 
Nikimaliza mfungo naomba nikuvishe pete ya uchumba......
 
Wewe uko adiktedi na MMU na ushahidi ni uwepo wako hapa 24/7, 365/366
 
Hasira ulizo ziona ni kama hizi?

<br />
<br />
ukianzia na zawadi basi mi hapo ndio ushahidi tosha na kuhusu huu uzi ulipo soma tu kichwa cha habari tu ukaanza kufikiria ki MMU zaidi..
 
Mbona heading na maelezo yako yako tofauti
Ila jua kwamba ukija kimzaha mzaha utaishia kupata majibu ya kimzaha
na within mzaha kuna watu wanakupa point so unaruhusiwa ku9soma na kuchambua pumba na mchele
 
ukianzia na zawadi basi mi hapo ndio ushahidi tosha na kuhusu huu uzi ulipo soma tu kichwa cha habari tu ukaanza kufikiria ki MMU zaidi..

Zawadi inahusiana vipi na MMU?!Ina maana nisingeijua JF nisingekua mtunzi?!
 
Mbona heading na maelezo yako yako tofauti
Ila jua kwamba ukija kimzaha mzaha utaishia kupata majibu ya kimzaha
na within mzaha kuna watu wanakupa point so unaruhusiwa ku9soma na kuchambua pumba na mchele

Kwa nini mungu ni mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…