Kwa nini mungu ni mwanaume?
Mhhh Ally inahusiana vipi hapa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mungu ni mwanaume?
Kwani sasa hivi nakula mawe?!
Well makapi or not nayafurahia kwahiyo wewe baki na maisha yako na mimi niendelee na makapi yangu!Unakula makapi
Well makapi or not nayafurahia kwahiyo wewe baki na maisha yako na mimi niendelee na makapi yangu!
Kwani nimesema umesema niyaache?!Kwani nimekwambia yako uyaache?
Aisee...kweli uwezo wa kuelewa unatofautiana kati ya mtu na mtu!!
Kwani nimesema umesema niyaache?!
Hapo juu nyie mnaharibu siredi ya mtu bana
Aika rua!
Wewe nawe leo ni kulalama....
Mhhh haya maneno umeyaiba wapi
Wapi wewe wakati yananihusu sanaKwani vipi? Umetoka kapa nini?
Wapi wewe wakati yananihusu sana
Yanakuhusu kivipi? Elezea...
Sio kila mtu yuko hapa kutongozana!!!kama mnatongozana nendeni PM kule mkafanye mambo yeni mwachieni mwenye siredi ajibiwe
Sio kila mtu yuko hapa kutongozana!!!
Sio kila mtu yuko hapa kutongozana!!!
Aisee...kweli uwezo wa kuelewa unatofautiana kati ya mtu na mtu!!