SAWEBOY
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 241
- 174
WAPENDWA WANA JF,
Kwa muda mrefu dada zetu wamekuwa wakilalamika kila siku kuwa ndoa zao zinaenda mrama kwa sababu waume zao au wapenzi wao wamekuwa not responsible hasa ktk 6 x 6. Yaani mume akiwa bwiiiii (cha pombe) hupiga kimoja tu, then akilala huwa fofofo huku mke/mpenzi wake akiwa anataka haki yake ya kungonoka.
Mbaya zaidi wengine hufikia hatua ya kulewa hata kushindwa kuwatimizia wake/wapenzi wao tendo muhimu a.k.a kitombo.
Katika utafiti wangu wa muda mrefu nimefanikiwa kugundua hii dawa ambayo wewe mwanamke unaweza ukamfanyia mume wako na hatimaye akaacha kabisa kunywa pombe na wewe ukawa mtu wa furaha muda wote kwa kufurahia tendo takatifu la kungonoka kutoka kwa mume wako au mpenzi wako. Kama kweli upo ktk tatizo hilo na mumeo au mpenzi wako basi usisite kufanya hili nitakalokushauri ili hatimaye uepukane na adha ambazo unazipata kutoka kwa mume wako coz ya uchapombe.
CHA KUFANYA SASA/ DAWA.
1. Ukiwa umeolewa na mume wako na una mtoto basi hiyo ni kazi rahisi sana: kamua maziwa toka katika chuchu/matiti yako na ukinge katika kikombe kwa kiasi fulani ambacho utakadiria kwa macho, mfano : ujazo wa robo kikombe cha chai, then chukua hayo maziwa changanya na pombe anayopenda kunywa, regardless ya kienyeji au bia, wewe mpatie tu anywe hiyo pombe.
2. Kama wewe umeolewa na huna mtoto, basi kamua maziwa ya nguruwe au tafuta maziwa kwa mama anayenyonyesha then fanya kama nilivyoelekeza hapo juu.
MATOKEO
Kwa ujumla mume wako atatapika hiyo pombe ya baada kufeel abnormal, hivyo itamfanya kila akiona pombe au kuhisi harufu ya pombe atakuwa hapendi kabisa na hata jaribu kunywa tena coz ile kitu ita-stick ktk mind yake.
NB: Kama utatumia bia basi hakikisha iwe mida ya usiku ili asiweze kugundua hilo zoezi na pia hilo zoezi lifanyikie home plse.
Nawatakia kila lakheri, na mungu awaongoze ktk hilo jaribio ili muokoe ndoa zenu na hatimaye uendelee kuishi kwa amani na upendo na mume wako/mpenzi wako huku ukifurahia the needful toka kwa mume wako/ bf wako and alike.
U're welcome.