Special kwa wakristo Ni mstari gani wa bible unakugusa sana ukiusimamia unajibu

Special kwa wakristo Ni mstari gani wa bible unakugusa sana ukiusimamia unajibu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
The lord be with you

Hii thread special kwa wakristo tu kama muislamu sapoti lengo la mada makasiriko peleka jukwaa la siasa

Kuna maandiko ya bible ukisimamia wakati umekata tamaa mambo yana jibu sana na kukupa faraja

Zaburi 20 yotee

Zaburi 51 nasomaga yote kuna mda mpaka masisimuka kwa hofu na ulimi kuwa mzito bubujiko linakuwa kubwa sana

Mwisho hili
Hapa nasambaratishaga maadui zangu wote

Isaya 54:15 Tazama, yamkini watakusanyana; lakini si kwa shauri langu. Watu wo wote watakaokusanyana juu yako wataanguka kwa ajili yako.

Shu
 
Back
Top Bottom