zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
- #21
Mi sinaga chuki za ovyo bana Ila sasa uliza maswali wakujibu wanajamvi wanaojua mi sijuiMm ni dokta tambitambi nilitaka tu kupima kama bado nipo fit kweny utabiri
Kumbe nimeshaexpire muda wangu
_sina nia ovu msela usijenge chuki