Special :Questions And Answers (Q and A)

Mm ni dokta tambitambi nilitaka tu kupima kama bado nipo fit kweny utabiri
Kumbe nimeshaexpire muda wangu
_sina nia ovu msela usijenge chuki
Mi sinaga chuki za ovyo bana Ila sasa uliza maswali wakujibu wanajamvi wanaojua mi sijui
 
Ni kwa nini mtu unasali unamuomba mtu ambae haonekani? Utasema ni imani! Ni kitu gani?
 
KWANINI unapenda sana lugha ya kiingereza.?
Nikiwa mmoja kati ya watafiti kutoka shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA nimeweza gundua hilo
 
Ni kwa nini mtu unasali unamuomba mtu ambae haonekani? Utasema ni imani! Ni kitu gani?
Sidhani kama wanaosali wanamuomba "MTU" ambaye haonekani!!

Wanaosali wanamuomba MUNGU, mungu si MTU mkuu!!
 
KWANINI unapenda sana lugha ya kiingereza.?
Nikiwa mmoja kati ya watafiti kutoka shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA nimeweza gundua hilo
Duh!mbona maswali personal bana.
Baada ya Lissu kusema Watanzania hatujui kiingereza nilisikitika Sana nikaamua kuanza kujifunza kupitia JF
 
Eti ni kweli wanawake wahawahi kuzeeka mapema kuliko wanaume?
 
Unauliza swali linalonihusu mimi Ila nimeanzisha thread nikitegemea uulize maswali yanayohitaji majibu ya kiujumla

Kwa mfano
Kwanini magari yana tairi zenye rangi nyeusi?
Lakini hukusema tuulize maswali yapi, swali ni swali tu kubaliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…