klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Sasa hiyo ndo yaitwa Special Romantic Moment aka SRM......wanchekesha lol
hehehehe SRM? wanshangaza lol
Hukupaswa kumwambia hivyo hommie, ungemwambia kama ulivyosema hapa chini lol Wanchekesha!
Wanchekesha...lolRules zozote zina exceptions! hata JF rules zinasema ukitukana kama uko kwenye athari za bange na ikathibitika basi haupigwi ban.
Keren Happuch hahusiki kabisa kwenye rule ya kisuri kula na nduguyo
Dah! afazali umekuja, nitakuwa sikosei spelling tena sasa. Yaani skujua kama mapenzi yanaathiri mpaka vidole kwenye kutype.I am just watching..................
Umejisikiaje ulivyoniona?..........Fellow tablet nshakuwahi tafazali.......I am just watching..................
hehehehe and you can see no sign of light sio?I am just watching..................
Khaaa! Wanchekesha!Dah! afazali umekuja, nitakuwa sikosei spelling tena sasa. Yaani skujua kama mapenzi yanaathiri mpaka vidole kwenye kutype.
Hali yako honey!
Utata gani aumalize? Khaa! Wanchekesha!hehehehe and you can see no sign of light sio?
Hebu maliza huu utata hapa!
post yako ni no 324, soma namba 323....... wanchekesha!Umejisikiaje ulivyoniona?..........Fellow tablet nshakuwahi tafazali.......
Klorokwin, Asprin, Kimey...mnaweza nipa maelezo, hivi mna-diskass nini vile???!!!!
I am just watching..................
Khee! Wanshangaza!post yako ni no 324, soma namba 323....... wanchekesha!
Special Romantic Moment......hujasoma taito? Wanchekesha!Klorokwin, Asprin, Kimey...mnaweza nipa maelezo, hivi mna-diskass nini vile???!!!!
Dah! afazali umekuja, nitakuwa sikosei spelling tena sasa. Yaani skujua kama mapenzi yanaathiri mpaka vidole kwenye kutype.
Hali yako honey!
Umejisikiaje ulivyoniona?..........Fellow tablet nshakuwahi tafazali.......
hehehehe and you can see no sign of light sio?
Hebu maliza huu utata hapa!
Unanilet down ndani ya sredi ya sweet romatic moments honey?Klorokwin, Asprin, Kimey...mnaweza nipa maelezo, hivi mna-diskass nini vile???!!!!
Umemuona queenkami anywhere?
Afadhali wee wanakuchekesha...mi klorokwini anshangaza LOL.............hebu mueleze ukweli ajue.......Mhhhh!!...nyie mwanchekesha....LOL...π
Hivi ndo nani vile???
Khee! Wanshangaza!
Special Romantic Moment......hujasoma taito? Wanchekesha!
Unanilet down ndani ya sredi ya sweet romatic moments honey?
Mwambie rafiki yangu wa kawaida, hana uhusiano wowote na Special Romantic Moment.........kiongozi utanipeperushia ndege wangu ujue.........Rafikiye Asprin...
Unachekesha...lolJust keep watching...Let them fight. Wakimaliza watashangaa.....!