Special Romantic Moments......

Special Romantic Moments......

Tena natafta clients wapya! kama hazbendi wako anakusumbua usisite kujaza fomu online , web yangu ni <a href="http://www.sinaukimwi.co.uk" target="_blank">www.sinaukimwi.co.uk</a>
lol naomba niwe client wako mpya! Nikinyimwa tu romantic moments nabisha hodi ofcn kwako!! Hata zile za faragha Shem, ntahitaji msaada wako.....wa kisheria
 
lol naomba niwe client wako mpya! Nikinyimwa tu romantic moments nabisha hodi ofcn kwako!! Hata zile za faragha Shem, ntahitaji msaada wako.....wa kisheria
Hizo za faragha ndio nimespecialize kabisa! wakaribishwa shem!
 
Sasa lawyer gani anaonea gere wateja wake wakipata SRM zao

Kesi ya Mbu haihusiani kabsaa na SRM. halaf huyu Mbu huyu lol, isije ikawa soulmate kawa Blackberry sasa maana naona BB anaufuatilia huu mjadala kwa umakini sana.
Mbu bana!
 
Kesi ya Mbu haihusiani kabsaa na SRM. halaf huyu Mbu huyu lol, isije ikawa soulmate kawa Blackberry sasa maana naona BB anaufuatilia huu mjadala kwa umakini sana.<br />
Mbu bana!

...duuuhhh, e bana weee...ngoja nikuletee picha wapi nilipo tangu juzi...khaaa...ati soulmate nini?
 
Mbu nakusoma tu hapa! Maswali ya nyongeza yanazidi kuongezeka!!
 
Back
Top Bottom