Special Romantic Moments......

Whats not happening here....
 
Kiongozi ngoja tumkaribishe vizuri!
hehehe kamanda beware of strangers, usje ukasema sikukuonya. Mie always nadili na vizee vya JF tu. hawa wageni hata wakiPM napotezea tu.

Mna mpaka wapopo humu JF.
mimi nitamsubiria akuwe legend kwanza
 
it seems mnajuana sana humu, hope nitawajua soon

Karibu sana SaraM...hope tutakufahamu na wewe soon! Hivi Klorokwin hajakuona tu...ni mtu muhimu, si unajua tena malaria haikubaliki....🙂
 
@nyani... hakuna mwenzangu ndio mgeni

Sarah...karibu sana ukaribie hapa kwenye jamvi hili tukufu la MMU. Jisikie uko nyumbani kabisa...ukipatwa na kiu nenda fungua jokofu ujisaidie na chochote kikukatacho kiu. Humo jokofuni kuna maji ya kunywa, kuna juisi ya matufaha na karakara, na pia kuna sharubati yenye ladha mseto wa machungwa, mananasi, na malimao.

Ukiumwa njaa kama wenyeji hatupo ingia jikoni ujimwage utakavyo na upendavyo na misosi ya kila aina. Hapo sebuleni kuna huo runinga. Uko huru kuuwasha na kuangalia kipindi chochote kile.

Ni matumaini yangu utalifurahia hili jamvi letu. Karibu sana Da' SaraM.
 
hehehe kamanda beware of strangers, usje ukasema sikukuonya. Mie always nadili na vizee vya JF tu. hawa wageni hata wakiPM napotezea tu.

Mna mpaka wapopo humu JF.
mimi nitamsubiria akuwe legend kwanza

Ahahahahahaa.....once bitten, twice shy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…