Special Romantic Moments......

Hommie hiyo Red hapo.........Ni mtego au ndo natakiwa kutimiza ahadi za mnadani?<br />
<br />
Aisee ngoja nimPM SaraM afu matokeo ntakutumia mheshimiwa mwenyekiti........... Idumu SRM!
ODM imegundulika SaraM ni mkongwe humu, muulize felo tablet don't say I didn't worn you!
 
Babu bado una celebrate special R.M hahahahaa mie wivu mbona umetupanga, si ulinipromise yupo bibi tu na mimi?
Usijali, kama ukinidondokea, Mheshimiwa Moskwito ameshanipa address ya hii kitu hapa chini, nahisi patatufaa.......... Please be my soulmate!............klorokwini asisome hapa kabla hujanikubalia pliiiiis!

Yaani ODM bwana, akiona jina la jinsia ya kike akili zake zinaruka kabisa! Tehetehetehe!
Nimekoma mzee...... Nilichoambulia huko PM sitarudia tena. Kuanzia sasa ntakuwa nadeal na malijendi yenye majina ya jinsia ye ke.....haya majina mapya hatari sana aisee!
 
Nimekoma mzee...... Nilichoambulia huko PM sitarudia tena. Kuanzia sasa ntakuwa nadeal na malijendi yenye majina ya jinsia ye ke.....haya majina mapya hatari sana aisee!

Ndio unakoma leo? Mwenzio nilishakoma tangu mwaka juzi! Teheteheteheehtehehe!
 
Just be happy bwana
 
Reactions: Mbu
Usijali, kama ukinidondokea, Mheshimiwa Moskwito ameshanipa address ya hii kitu hapa chini, nahisi patatufaa.......... Please be my soulmate!............klorokwini asisome hapa kabla hujanikubalia pliiiiis!
Niwe soulmate wako mara ngapi babu? tena sitak pengine hapohapo kwa mbu na soulmate wake, mbu nae kwa kujiromantisha, anatutamanisha tu wenzake!
 
Niwe soulmate wako mara ngapi babu? tena sitak pengine hapohapo kwa mbu na soulmate wake, mbu nae kwa kujiromantisha, anatutamanisha tu wenzake!
Kila mmoja na asome hapa.............Natangaza rasmi, kuanzia leo Gaga ndio soulmate wa ODM.......Watu wote pigeni makofi.......

Na hili hapa chini ndilo neno la Soulmate wangu:

You Only live Once....But if you do it right, Once is enough
 
Hapo kwenye bluu naona unajenga mazingira ya kutoa naye single badala ya album....!!
 
Khaa! Kiongozi naona unataka kuniharibia move!

Dah! Nilikuwa najaribu tu kusoma katikati ya mistari...Ngoja niende kaunta sasas kiongozi. Nisije nikaribu zaidi...Namwachaa klorokwini jukwaa!
 
Dah! Nilikuwa najaribu tu kusoma katikati ya mistari...Ngoja niende kaunta sasas kiongozi. Nisije nikaribu zaidi...Namwachaa klorokwini jukwaa!
Kunywa taska malti mbili za baridi kwa bili yangu.......... Pitia pale Rose Garden kuna mhudumu anaitwa Pamela mwambie akupe....
 
...mnh, umejaaliwa mgongo mashaallah...

Mwanajamiione nisamehe darling wangu,...ulimi umeniteleza tu hapa madame moi---
wewe ni zaidi ya wote, ...mwisho wa matatizo na hata zile njozi za 'jehanamu' na mang'amung'amu... xoxox
 
lol si bure.kuna unalontafutia Mbu!! Asprin ashantosa kanireplace na Gaga, bado tu??!

Kwa Darlingtone umeonyeshwa mgongo tu tena kwa mbaaali, halahala usijetangaza nae ni soulmate Wako!
 
Reactions: Mbu
lol si bure.kuna unalontafutia Mbu!! Asprin ashantosa kanireplace na Gaga, bado tu??!

Kwa Darlingtone umeonyeshwa mgongo tu tena kwa mbaaali, halahala usijetangaza nae ni soulmate Wako!

...darling wangu jamaniii... huyu hata theluthi hakufikii...yeye ana mgongo tu, wewe ni full package...
huo mwanya, rangi ya fanta, mashallahu....nakupenda mie mtanga wangu....usikereke kwa kelele za mlango...
...tayarisha passport nikupeleke Dubai tukatembelee bujr al arab...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…