Special Romantic Moments......

...lol...hebu ning'ate sikio,...umegundua nini ewe mtani?

siwezi kusema kabisa
so far mbu unakijua...lol

mimi nimethibitisha hapa ni so powerfull
ingawa nilikuwa nakijua...
asha d sorry....hupaswi hata kukijua lol
 
siwezi kusema kabisa
so far mbu unakijua...lol

mimi nimethibitisha hapa ni so powerfull
ingawa nilikuwa nakijua...
asha d sorry....hupaswi hata kukijua lol

No Boss... I have read between the lines... and believe me you... You have Said it all - hata Mbu ata atest naona....lol
 
siwezi kusema kabisa
so far mbu unakijua...lol

mimi nimethibitisha hapa ni so powerfull
ingawa nilikuwa nakijua...
asha d sorry....hupaswi hata kukijua lol

...aaarrrgghhh,...hebu ni pm basi...kichwa kishachoka hiki na kosakosa za
kupigwa pasi na daladala siku ya leo, nawe sasa wan'tia maruwe ruwe na mgao huu....
 
...aaarrrgghhh,...hebu ni pm basi...kichwa kishachoka hiki na kosakosa za
kupigwa pasi na daladala siku ya leo, nawe sasa wan'tia maruwe ruwe na mgao huu....

mbu
nimeshasema wakijua...
labda hilo neno so powerfull linakuumiza kichwa..
nikikwambia sana sana utaniuliza mimi,ulikuwa hujiu?lol
ni kitu waswahili wanaita siri ya wazi....lol
 
Reactions: Mbu
mbu
nimeshasema wakijua...
labda hilo neno so powerfull linakuumiza kichwa..
nikikwambia sana sana utaniuliza mimi,ulikuwa hujiu?lol
ni kitu waswahili wanaita siri ya wazi....lol

...aahhh, wala sikijui bana...na akili hii ilivyochoka leo
acha nikalale mie...
 
Tunawasubiri waliopitia watu madata, wengine ni ndoto mpaka sasa, all relations i had ni kero tu, sitaki hata kuzikumbuka.

Pole inabidi ujitafakari upya huenda wewe mwenyewe ni chanzo cha kukosa huo uhondo wa mapenzi. usiombe kukutana na hiyo raha Remmy, utaona dunia yote ni yako na hakuna mwingine zidi ya huyo mnayepeana naye raha. Nitafute nikufunde, teteteteeeeeeeee!!!!!!
 
Mnapeana miji ili kutengua kitendawili au? Maana naona Shemeji na Soulmate wangu mnapigiana pasi!! The Boss, you are the Great Thinker!
 
...mwj1...wanijua nikitumia font hizi maanake laptop ishazimwa, natumia jf mobile. Pls, wake me up... Nakupenda, usiku mwema xoxo

The Boss, wewe ni great thinker aisee, pheewww..!
Thx buddy.
 
...mwj1...wanijua nikitumia font hizi maanake laptop ishazimwa, natumia jf mobile. Pls, wake me up... Nakupenda, usiku mwema xoxo

The Boss, wewe ni great thinker aisee, pheewww..!
Thx buddy.
Lol................xoxo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…