MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter

- #21
nimewahi sikia watu wanasema at least umpigie simu asubuhi yake kama hamuishi pamoja
Aksante sana The Boss, ina maana umpigie umweleze jinsi ulivyoenjoy?? au just aksante??
Recently I have been given the best three days of my life....still I cant find words to say thank you kwa sababu ninaamini kuwa pamoja na kuwa it was out of love I still feel like it was too much and a mere thank you haitoshi kuonyesha ni jinsi gani ninaappreciate alichonifanyia.
Shalis....mimi ninapingana na wewe.haiwezekani kuwa hujawahipata 'Good Memories' japo mwanzoni mwa mahusiano jamani ama sivyo we usingemkubali bwana. Hebu share!!yani sitaki hata kukumbuka kero mpaka mwisho wa reli
Sijui kama nimeelewa vizuri,
Ila huwana nahisi nimepata lift ya watu wa NASA nikimsikia mdau wangu akiomba msaada wa majirani baada ya kunogewa na dinner!!
Hii nayo imo???
Halafu wewe....Ulipotelea/potezewa wapi????
Aksante sana The Boss, ina maana umpigie umweleze jinsi ulivyoenjoy?? au just aksante??
Recently I have been given the best three days of my life....still I cant find words to say thank you kwa sababu ninaamini kuwa pamoja na kuwa it was out of love I still feel like it was too much and a mere thank you haitoshi kuonyesha ni jinsi gani ninaappreciate alichonifanyia.
Nani huyo? hebu eleza vizuri basi??
Inawezekana ulikuwa na shost wako akukupa umbeya wa kutosha au???
...namimi nimeli miss jukwaa hili kwakweli...mwanajamiione, treasure the moment & sweet memories.
Nikijitolea mfano wangu binafsi, natabasamu nikikumbukia masaa machache yaliyopita nilikuwa najipendelea
mbugani kwenye romantic retreat moja inayotizama korongo kuu;
....tabasamu lililokuwa linaupamba uso wa madame, muda wote nilokuwa
nae safarini lanitosheleza na lanipa tabasamu na furaha tele moyoni...
na wala sihitaji malipo ya aina yoyote, kwani lengo nia na madhumuni ilifikiwa
i.e...kufurahi pamoja..
Umeona eh??........Huyu bwana anaezafanya watu tukatwangwa talaka kwa.....hebu fanya kama Mbu bana!mbu una hatari sana lol
MBU: duniani raha kama tu una wa kupeana nae hizo raha...
MJ1: wakati mwingine mioyo yetu ikifurahi sana tunashindwaga la kusema, atakuelewa tu kwamba umekosa maneno ambayo unahisi yatatoshea kusema utakacho.
I missed you two....lol!

Karibu sana mdogo wangu,

Naona hapa kuna kitu kipya...ngoja nikuachie kijiti kwanza..nikabembeleze wajukuu wapate kusalimiana na Mungu!
One of my speacial romantic moment happens in a nip...
a nibble kiss on my neck just below my left ear.. him
standing from the back.. not wanting do go third base
but just kissing for the sake of kissing... It always works
wonders... and It infuses my whole with so much love...
aisee acha tu,...nimeng'atwa na mbung'o huko katika harakati za kumfurahisha madame, and it worth every penny aisee....nasubiria maumivu yakizidi nikamuone dakitari, otherwise, the retreat was excellent na madam hakuwa yule mwenye gubu la 'tunaharibu hela....!' yeye ni smiles tu...aisee maisha haya ni raha sana bana...
you only live once....kujipendelea muhimu!
long tym bro, kwema?
Wewe ni hatari sana,
Kumbe uliyaona hayo na barua uliandika...???
Halafu kule boarding kulikuwa na wataalamu wa kujiandikia barua na kutumia stamps za kufuta (re-use) ili waonekane ni never miss!!!
Haki ya nani tumetoka mbali......Na hapo hujaongelea issue ya TMO!!!!
Oh My Gosh!.....Some people are very lucky.......Hongera sana Mbu kusema ukweli ninawezapata picha ni kwa kiasi gani Soulmate wako amejisikia maana kwa maneno haya tu uloandika hapa tayari yana u-speciality flan kwa Madame. sijui nikupe akisante kwa niaba au nitaharibu mood ya Madame!!
Nimeipenda hii experience yako kwa kweli kwa sababu the important issue ni kufurahi PAMOJA. jamani maisha mafupi, tuenjoy na wapenzi wetu.
Mbu una more pictures kwa ajili ya wapendanao?? tuhamasike kufanya utalii wa ndani kama njia mojawapo ya kuboresha mahusiano yetu. Tuwapeleke tuwapendao huko Ngorongoro, Serengeti, Seronera, Sopa and the alike.
Spice up your relationships........................kina dada tusibaki nyuma kusubiri tupelekwe jamani usawa tunaoudai usiishie kwenye mirathi na divorce!! (eti tu sawa basi turithi/gawane sawa)
Mzee DC yoyote yanayokufanya ujisikie kuwa UNAPENDWA including kusifiwa kwa watu.Sijui kama nimeelewa vizuri,
Ila huwana nahisi nimepata lift ya watu wa NASA nikimsikia mdau wangu akiomba msaada wa majirani baada ya kunogewa na dinner!!
Hii nayo imo???
Halafu wewe....Ulipotelea/potezewa wapi????
Aksante sana The Boss, ina maana umpigie umweleze jinsi ulivyoenjoy?? au just aksante??
Recently I have been given the best three days of my life....still I cant find words to say thank you kwa sababu ninaamini kuwa pamoja na kuwa it was out of love I still feel like it was too much and a mere thank you haitoshi kuonyesha ni jinsi gani ninaappreciate alichonifanyia.
Hahahahahh Mzee DC unantafutaSijui kama nimeelewa vizuri,
Ila huwana nahisi nimepata lift ya watu wa NASA nikimsikia mdau wangu akiomba msaada wa majirani baada ya kunogewa na dinner!!
Hii nayo imo???
Halafu wewe....Ulipotelea/potezewa wapi????
Ungekuwa reachable basi cable yako ilikuwa imetua kwenye wikileak!!!
AishaDii shost mbona wanchokoza?? maana hii kama vile uliirecord!!! ..........ahhahaha kwenye Boarding room, nlishawahipigwa na suprise ya aina hii....from behind, humwoni mtu unasikia tu ....a kiss from behind.........LOL kuna watu wana hatari kiasi kwamba unajaribu kuwafikiria huwamalizi.............

Kaka mkubwa, hapa nimevuta kiti nasubiri ajibu maswali yako kwanza.....
Hahahahah Mbung'o tena??...............eh this shows how people can go an extra miles to make someone special in their lives happy!! .....I wish!!
Ninavyoogopa Mbung'o, I bet Mbu this was your first time together wasnt it? LOL kama siyo angalia watu wasijefanya 'advance application'!!!