hahahah...,man from the dark city, namaanisha ya kwanza, kuoa....sio kuwowa bana
<br />
<br />
nakusemeaa..
wapi tena (MJ1 potezea hapa tafadhali)
Hahahahahaaaaaaaaaaaa hii nimeshindwa kujizuia kucheka....................Mzee DC nimesema memories za kukufanya ujisikie someone special.......je shoga anawezakufanya ujisikie someone special kwa umpendaye??
Hivi retreat yenu ilikuwa ya siku ngapi vile......?????
....yaaani, huku uswazi wanasema 'usipime'...btw, next time nitamuomba mamsap
tupitie kusalimia waazee hapo jf makao makuu ARS,...leo nimepita mbio mbio
kukimbilia dar...
mstaafu,....mimi nakumbuka siku ya kwanza ilikuwa jumamosi asubuhi tulipoanza safari,
baada ya hapo hesabu (ya siku) ilinipotea (kwa hizo raha raha za duniani) mpaka jioni hii naingia Dar ndio akili zinanirudia....
...nilimuona huyu 'paka' mtini....
Aksante sana The Boss, ina maana umpigie umweleze jinsi ulivyoenjoy?? au just aksante??
Recently I have been given the best three days of my life....still I cant find words to say thank you kwa sababu ninaamini kuwa pamoja na kuwa it was out of love I still feel like it was too much and a mere thank you haitoshi kuonyesha ni jinsi gani ninaappreciate alichonifanyia.
Umeona eh??........Huyu bwana anaezafanya watu tukatwangwa talaka kwa.....hebu fanya kama Mbu bana!
Mbona ni zaidi ya siku 3?
...ama?...hahahaha...waifananisha/kuilinganisha retreat yangu na ya mwanajamiione nini?
hapana, yangu ilikuwa majuzi...ya mwj1 sijui yaliyomsibu wala lini...lol!
Hapana mkuu!!!
Nilikuwa najikumbusha hisabati za enzi zetu. Zile za kutoa na kujumlisha (with error margin of +/-1)!!!!
Ila nyie ni wakali....yaano romantic moments zenu zime-coincide si mchezo....May ndo maana NN anaomba mtuandikie kitabu...LOL!!!
Hapana mkuu!!!
Nilikuwa najikumbusha hisabati za enzi zetu. Zile za kutoa na kujumlisha (with error margin of +/-1)!!!!
Ila nyie ni wakali....yaano romantic moments zenu zime-coincide si mchezo....May ndo maana NN anaomba mtuandikie kitabu...LOL!!!
NN mpenzi loh I had never thought of that.......nitamwomba Mbu aconside this!!
Thanx for complement, naapreciate bro!
Likwanda hii post yako imeniumiza. Ni kweli kuwa mwisho mzuri ndio hukumbukwa but com'n bana hakuna mbaya asokuwa na mazuri yake japo mawili! Hata mie nilikuwa na jinamizi langu lakini pamoja na ujinamizi wake kuna kipindi alishawahikuwa malaika jamani! iwe mwanzoni au mwishoni!!Binafsi zote zimalizwa na maumimivu, naamini kuwa mwisho mzuri ndio hukumbukwa kuliko mwanzo nzuri mwisho uwe mbaya.
Ahhhhhhhhh kumbe..???
Kama unamwongelea bibi yao wale wapenzi wetu basi hizo moments ni nyingi kama majani...na nyingine hata expiry dates zake zimepita!!
Hivi kuna wakati dume linajisikia special saaana zaidi muda ule linapoambiwa kwamba wewe ndiye Rais wa dunia....na kwamba hata Obama hafai kuwa makamu wako???
Nadhani nimezeeka sana...nafikiria ki 1947....Naamini mtanisamehe!!
Ila special moments nyingine ni ngumu kuzielezea....!!
Mzee DC usichanganye yangu na ya Mbu.........yangu ilikuwa siku 3 zamani kidogo naona ya Mbu bado ni fresh kabisa!Mbona ni zaidi ya siku 3?
Dah aksante sana The Boss maana mie sikumbuki kama nilifanikiwa kulipata 'neno' la kushukuru maana niliona kama vile Aksante haitoshi kuonyesha jinsi gani nilifurahi and yet mpaka sasa najisikia guilty asijekuwa alihisi kuwa sikushukuru kwa kuwa ninachukulia kuwa ni wajibu wake kwa kuwa ananipenda!!.hata ukisema tu honey bado nakumbuka ya jana yale..lol
inatosha sana trust me
nn alisema huyu jamaa ni guru
nimependa sacrifice aliyofanya....
halafu kuwa unselfish kwa kuangalia zaidi mamsapu kafurahi kiasi gani..
wengine akishaingia gharama,atakuwa anataka kufurahishwa yeye zaidi...
yaani amefanya love is about givingi and giving
badala ya giving and taking....
Hapana mkuu!!!
Nilikuwa najikumbusha hisabati za enzi zetu. Zile za kutoa na kujumlisha (with error margin of +/-1)!!!!
Ila nyie ni wakali....yaano romantic moments zenu zime-coincide si mchezo....May ndo maana NN anaomba mtuandikie kitabu...LOL!!!
Umeona eeeh! yaani acha lawyer niuchune tu! usisahau vile vile , wote walipotea halaf ghafla wote wameibuka sku moja tena wanachangia sred ya special romantic moments.
Hii sredi mpaka sasa great thinkaz ni mimi na Dark city tu, mlobakia tunakushkuruni kwa kuchangia.
Likwanda hii post yako imeniumiza. Ni kweli kuwa mwisho mzuri ndio hukumbukwa but com'n bana hakuna mbaya asokuwa na mazuri yake japo mawili! Hata mie nilikuwa na jinamizi langu lakini pamoja na ujinamizi wake kuna kipindi alishawahikuwa malaika jamani! iwe mwanzoni au mwishoni!!
tunaomba kama ni kero msiilete hapa
hii thread iwe tu about beautifull memories....