Mzee DC usichanganye yangu na ya Mbu.........yangu ilikuwa siku 3 zamani kidogo naona ya Mbu bado ni fresh kabisa!
Any time my dear!
Wewe na Mbu combined mna mada kem kem za mapenzi na mahusiano ambazo mkizi compile na kuzipangilia vizuri mnaweza kutoa kitabu kimoja kizuri sana. Not only that, you both always come up with fascinating topics and ideas.
Au mnaweza kuwa na TV talk show yenu inayohusu mapenzi na mahusiano kwa ujumla. Your chemistry is off the chain and I always enjoy reading your good-natured banter. Based off of that I think you guys can form quite a dynamic duo!
But that's just me thinking out loud.
Hawa MJ1 na MBU wanapenda kweli kufungua nyaraka za Serikali lol!!! PA yaani ni machungu kwenda mbele huwa sipendi hata kuikumbuka halafu huyu MJ1 huyu ngoja nimsake alipo lazima anilipe fidia kwa topic hii aliyoleta lol!!!Ukiona hivo ina maana alokupa hio speacial romantic moment as much as hampo woote... You have not let go..... Pole PA.... Ila naomba utaje, ni ipi hasa mpaka inakufanya iumee kiasi hicho... (alafu MJ1 na Mbu dawa yao ipo jikoni... Hizi topic zao hizi....)
...hahhhh,...aisee mimi kila siku nimo kwenye mapenzi naye motomoto, ila nyuzi joto ya
mahaba yetu majuzi yalipandishwa ghafla kwenye kiota cha maraha...na kwa thread ya mwj1 nikajionea
acha nami ni share nanyi experience bana...hahaha
...lol...kumbe uli note tulipotea ghafla ee?....aisee....
...haya sasa.....haya ndio mambo aliyoyakataa the boss;
...mwanajamiione kaja na thread nzuri ya matumaini mapya, tayari watu wanamkumbushia machungu.
aaahhh, watu bana...you dont know kwa kiasi gani zafanyika jitihada za ziada kujaribu kumliwaza
mwenye hii thread ili nae ajitambue u thamani wake baada ya "usukule" wa miaka nenda rudi.
mwanajamiione, treasure the sweet memories bana,....
mapenzi sio doubts & machungu peke yake, aarrrghhh...
Dah!!!! Mkuu ulinyima lift ya kwenda mbugani wakati nilikufahamisha mapema kabisa nahitaji nipate moment ya kuona Simba lol!!! Mkuu hope all is well on your side
Hawa MJ1 na MBU wanapenda kweli kufungua nyaraka za Serikali lol!!! PA yaani ni machungu kwenda mbele huwa sipendi hata kuikumbuka halafu huyu MJ1 huyu ngoja nimsake alipo lazima anilipe fidia kwa topic hii aliyoleta lol!!!
Nilipoona tu thread ya MJ1 Nikafuraaahi... Nikajua lazima Mbu atakua in the house....lol... Na nilimiss michango yake....Ukiona hivo ina maana alokupa hio speacial romantic moment as much as hampo woote... You have not let go..... Pole PA.... Ila naomba utaje, ni ipi hasa mpaka inakufanya iumee kiasi hicho... (alafu MJ1 na Mbu dawa yao ipo jikoni... Hizi topic zao hizi....)
Dah!!!! Mkuu ulinyima lift ya kwenda mbugani wakati nilikufahamisha mapema kabisa nahitaji nipate moment ya kuona Simba lol!!! Mkuu hope all is well on your side
Aksante Mbu na The Boss, mie lengo langu nlitaka at least tuwape matumaini watu maana kwa muda mrefu sasa kila thread inayoanzishwa inakuwa na malalamiko juu ya mapenzi na mahusiano matokeo yake tunajenga picha kuwa ndoa/mahusiano ni kero na maudhi tupu ilhali kuna mazuri ambayo mtu akiyajua anawezapata matumaini mapya!
Hata mimi kwa muda mrefu nilifikia hatua kujiuliza nini hasa lengo la kuwepo kwa mapenzi duniani iwapo kila kukicha watu wanaumizwa, wanaumiza na kukerana?!! kumbe sio kila siku ni jua tu hata mvua 'za maraha' zipo siku moja moja eh!!
Shikamoo mzee wangu, hebu tukumbushie Special Romantic Moment yako ya 1947
HahahahaMhhhhh wewe dogo,
Kwani nani kakwambia jamaa alihitaji crew ya press????
....lol....niachieni Soulmate wangu jamani, khaaaa? hahahah...mbu yupo likizo AshaDii...
nimejitokeza 'kumpa shavu' mwanajamiione hapa kwa useful sredi 'ake hapa.
...dahhh, am humbled kwa kweli...huyu mwanajamiione namtafsiri kama;
A soulmate (or soul mate) is a person with whom one has a feeling of deep or natural affinity, similarity, love, intimacy, sexuality, spirituality, or compatibility. A related concept is that of the twin flame or twin soul, which is thought to be the ultimate soulmate.
[TD="class: word"] soulmate [/TD]
[TD="class: tools"][/TD]
[TD="class: text, colspan: 2"] A person with whom you have an immediate connection the moment you meet -- a connection so strong that you are drawn to them in a way you have never experienced before. As this connection develops over time, you experience a love so deep, strong and complex, that you begin to doubt that you have ever truly loved anyone prior. Your soulmate understands and connects with you in every way and on every level, which brings a sense of peace, calmness and happiness when you are around them. And when you are not around them, you are all that much more aware of the harshness of life, and how bonding with another person in this way is the most significant and satisfying thing you will experience in your lifetime. You are also all that much aware of the beauty in life, because you have been given a great gift and will always be thankful. [/TD]
PA na mimi naweza kusema leo umeniamkia aisee lol!! Maana una hit on every angle mpaka uhakikishe nimesema hahaha ila najua hakijaharibika kitu kule kijiweni kwangu najua utapita tuPA ama umenikwepa! Kweli inaelekea ni machungu hasa..... Ukimpata nishtue...lol... Mie nataka kumpongeza...
@MJ1 Tafadhali Baada ya hii thread tafadhali leta ya Machungu.... Tuone what members watasema... walau hata PA hapa asikose la kusema.....
Umeona eh, Mzee DC anataka kuunganisha dots ambazo ni very scattered eti anataka apate msitari ataoupata ulio linear!!
Yangu ni ya muda kidogo but impact yake mpaka sasa naifeel!! na bado natafuta jinsi ya ku'shukuru'!!! Ila yako ya huko Mbugani mh, umenitamanishaje!!
Lakini si uliniambia ulienda na video camera so tunaweza kuona matukio yote au sio? Especially kwenye scene ya mabusu motomoto hahahaha...aisee nahisi kama tungekukwaza njia nzima, maana minong'ono, mabusu, kushikana mikono, vicheko na kukumbatiana was all the way from Dar and back, na waliosema ati kufanyiana hayo kwaweza sababisha ajali ni warongo,...kwani tumekwenda na kurudi salama, [naamini hata mungu alifurahia kutuangalia waja wake tukihubiri mapenzi na upendo njia nzima kwa vitendo]
....sasa wewe si ungetuona twakufanyia visa? hahaha...
Mhhhhh wewe dogo,
Kwani nani kakwambia jamaa alihitaji crew ya press????
Aksante Mbu na The Boss, mie lengo langu nlitaka at least tuwape matumaini watu maana kwa muda mrefu sasa kila thread inayoanzishwa inakuwa na malalamiko juu ya mapenzi na mahusiano matokeo yake tunajenga picha kuwa ndoa/mahusiano ni kero na maudhi tupu ilhali kuna mazuri ambayo mtu akiyajua anawezapata matumaini mapya!
Hata mimi kwa muda mrefu nilifikia hatua kujiuliza nini hasa lengo la kuwepo kwa mapenzi duniani iwapo kila kukicha watu wanaumizwa, wanaumiza na kukerana?!! kumbe sio kila siku ni jua tu hata mvua 'za maraha' zipo siku moja moja eh!!
PA na mimi naweza kusema leo umeniamkia aisee lol!! Maana una hit on every angle mpaka uhakikishe nimesema hahaha ila najua hakijaharibika kitu kule kijiweni kwangu najua utapita tu
Nimeelewa lakini bado haujamalizia kabisa haiwezekani unamtafutia bibi maji ya kunywa tuKuamka usiku kwenda kumtafutia bibi maji ya kunywa!!!
Umeelewa kajukuu????
....lol....niachieni Soulmate wangu jamani, khaaaa? hahahah...mbu yupo likizo AshaDii...
nimejitokeza 'kumpa shavu' mwanajamiione hapa kwa useful sredi 'ake hapa.
...aisee nahisi kama tungekukwaza njia nzima, maana minong'ono, mabusu, kushikana mikono, vicheko na kukumbatiana was all the way from Dar and back, na waliosema ati kufanyiana hayo kwaweza sababisha ajali ni warongo,...kwani tumekwenda na kurudi salama, [naamini hata mungu alifurahia kutuangalia waja wake tukihubiri mapenzi na upendo njia nzima kwa vitendo]
....sasa wewe si ungetuona twakufanyia visa? hahaha...