Special Romantic Moments......

Agemate MTM..........

Hivi hata cheaters nao wana special romantic moments?.............

Sorry nsichakachue sredi ya mjukuu mtiifu.........Ngoja nikumbukie special romantic moments na shem wako enzi zileeee za chips kwa Nata (RIP). Siku hizi ni wizi mtupu!
 
Tatizo lako ni lile lile la mtaka yote.... Hebu mcheki GY tukapate Lunch pale port view mkuu
Hahahahahaha....... Hakuna raha kupiga lunch huku unapigiwa zeze na nyimbo tamu za kigogo..........ukitoa jero unapewa bonus....
 
Yalaaaaaaaaaaaa.... sasa wewe unatafuta bifu na n'tu, I am sure wanazo... la sivyo wangeacha ku-cheat... Wanasema kila shetani na mbuyu wake,

But wale wanaohodhi nadhani hawana furaha

Angalizo: Ni marufuku kupanda basi kwenda Arusha kuchapa makofi shemeji....
 
Sasa Asha embu twambie inakuwaje akitaka kwenda hiyo third base?
 
Kumbe ndo maana juzi nlikupigia simu ukasusa kupokea.

Sikujua kama simu huwa hazipokelewi kwenye Special Romantic Moments.

Ntakuchapa!

Mhhhhhhhhhhhhh Babu mwenzangu,

Hivi kumbe wazee wote tuna macho mabovu..nilidhani ni mie peke yangu (may be na bibi)!!
 
Mimi bana greatest moment mwanamke aniambie 'ame miss siku zake' hapo najua yes kumekucha,am gonna be a father,na ikitokea hivyo huwa sikawii kumpiga midhaabu ya nguvu as a way of saying senk yu la'ziz!
 
Kumbe ndo maana juzi nlikupigia simu ukasusa kupokea.

Sikujua kama simu huwa hazipokelewi kwenye Special Romantic Moments.

Ntakuchapa!

Ah Babu juzi ipi? mie special romantic moments zangu zilikuwa long kidogo bana loh

Afu si mnasemaga kule hakutakiwi disturbance ya aina yoyote? hakuna kubebana na masimu wajameni wala malaptop mtu hakawii kuingia kwenye JF bure! akasahau ku'mfurahisha' mwenzie!
 
Hii kitu inatishia usalama wangu kwa sababu hapa nimekaliwa kooni na mkoloni,

Ngoja nikumbuke tulivyokuwa tunaagana enzi zetu za 1947,

...Twende tukawinde leo,
Tukawinde kipepeo,

Tena...!!
...Twende tukawinde leo,
Tukawinde kipepeo,

Aiya iyaaaaaaaaaaa kipepeo oooo kipepeo x 3

Munogage.....!!
 
Mimi bana greatest moment mwanamke aniambie 'ame miss siku zake' hapo najua yes kumekucha,am gonna be a father,na ikitokea hivyo huwa sikawii kumpiga midhaabu ya nguvu as a way of saying senk yu la'ziz!

Ukiwa na mulitiple na wate wana msg ya namna hiyo unajisikiaje???

Bye bye!!
 
Hahaha!!! Wewe si umeona ya Mbu anasema mabusu motomoto hata wakati anang'atwa na mbung'o wala hakusikia maumivu nafikiri alienda kule Bilila Lodge
 
Hahahahahaha....... Hakuna raha kupiga lunch huku unapigiwa zeze na nyimbo tamu za kigogo..........ukitoa jero unapewa bonus....

Inaitwa GY Bonus Track
Nyie watu nyie halafu special moments za ODM huwa ni utata mtupu lol!!
 
ahaaaaaaaaaaaaa, ndio maaanaaaaaaaaa :moony:
 
Inaitwa GY Bonus Track
Hahaha....GY bana...... ye anatoa ahsante ili mtu aishie badala yake anapewa bonus track!

Mhhhhhhhhhhhhh Babu mwenzangu,

Hivi kumbe wazee wote tuna macho mabovu..nilidhani ni mie peke yangu (may be na bibi)!!
Mzee mwenzangu leo hujavaa mawani yako? Azima ya bibi utaona kama ninavyoona mie hapa.

Hebu angalia vizuri kama hakuna missed calls zangu kama nne hivi juzi. Au ushadiliti namba ya babu?

Nyie watu nyie halafu special moments za ODM huwa ni utata mtupu lol!!
Special moments za ODM ni pale anapokuwa kaunta, mdudu akiwa anaungua jikoni na Eva anatoa Tusker Malt ya baridi kwa friji............Hapo ukimpigia simu ODM unajisumbua bure.
 
Nimekumbuka zile zako "Aisee nitapita hapo sasa hivi wala msiwe na wasiwasi sitachelewa kumbe uliishavuka na Mbezi uko kwa Asenga"
 
MJ1,
  1. Sema ahsante
  2. onyesha kwa vitendo umeridhika, cuddle him/her but dont over do coz sometimes inakua kama too much
  3. show interest for the next trip or moment
  4. write something (card is better than sms or email)
  5. take a few photos
  6. give the best - kitandani
  7. Fanya tathmini
Lots of jokes too

MTM@no spesho moment at the moment
 
Kwamba na wewe ulimpigia hakupokea au na wewe ukiwa kwenye SRM huwa hubebagi masimu na malaputopu?
Nilimtafuta mdogo wangu huyu lakini hakupatikana, nilichepuka arusha kidogo

I am sure amefaidi sana

TangazO: Lunch Port View bila ngoma za kigogo
 
Nimekumbuka zile zako "Aisee nitapita hapo sasa hivi wala msiwe na wasiwasi sitachelewa kumbe uliishavuka na Mbezi uko kwa Asenga"
Hahahahaha............ nikikumbuka ashua anazochoma Asenga, huwa sikumbuki kama duniani kuna marafiki.....Hivi ni kwanini nyeti za mbuzi jike nazo hazichomwi kama za beberu....Huu ni unyanyasaji wa kijinsia....

Naona mate hapa uko kikazi ila hapo kwenye bold, si inategemea hiyo moment uko na nani? Kama ni mpango wa kando, hiyo kadi kwa mama chanja itakuwaje kama si kujitafutia ngumi jiwe za bure?...........Au SRM anayozungumzia hapa ni ya mke vs mme?

Nilimtafuta mdogo wangu huyu lakini hakupatikana, nilichepuka arusha kidogo

I am sure amefaidi sana

TangazO: Lunch Port View bila ngoma za kigogo
Vigezo na Masharti Kuzingatiwa. Aisee nataka kuandikisha mtoto shule, nahisi wife ana kaujauzito nisije kosa nafasi baadaye............!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…