The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
I am more concerned na hili tangazoNilimtafuta mdogo wangu huyu lakini hakupatikana, nilichepuka arusha kidogo
I am sure amefaidi sana
TangazO: Lunch Port View bila ngoma za kigogo
Lol!!!!Hii sekta kuna mtaalamu mmoja anaitwa Bigirita sijui kama ameishamaliza kufanya research kuhusiana na hii makituHahahahaha............ nikikumbuka ashua anazochoma Asenga, huwa sikumbuki kama duniani kuna marafiki.....Hivi ni kwanini nyeti za mbuzi jike nazo hazichomwi kama za beberu....Huu ni unyanyasaji wa kijinsia....
Mimi bana greatest moment mwanamke aniambie 'ame miss siku zake' hapo najua yes kumekucha,am gonna be a father,na ikitokea hivyo huwa sikawii kumpiga midhaabu ya nguvu as a way of saying senk yu la'ziz!
Hii makitu matamu sana, inaelekea ya mbuzi jike yaweza kuwa matamu sana..........Itaongezea Special Romantic Moment...... (Hapa issue ni kutotoka nje ya mada)Lol!!!!Hii sekta kuna mtaalamu mmoja anaitwa Bigirita sijui kama ameishamaliza kufanya research kuhusiana na hii makitu
mimi sikumbuki kwa sababu moja kuu!wapendwa wanajf
ni matumaini yangu wote mu wazima. Nimewamiss sana wote.
Kwa mara nyingine tena ninawaomba tushee pamoja baadhi ya kumbukumbu (memories) ambazo tulishawahi kuzipitia kwenye maisha yetu ya mahusiano. Ninaelewa wengi mlishazipitia zile 'romantic moments" ambazo zilikufanya ujisikie kuwa wewe ni a very special person katika maisha ya huyo alokupa hiyo great romantic moment. Najiuliza tu
je unaonyeshaje kuwa umeridhika, umefurahia na unamshukuru vipi kwa kukupatia nafasi hiyo au tunachukulia tu ni jukumu lake kukupa good times kwa kuwa tu u her/his chosen one? How do you show your appreciation?
Hii makitu matamu sana, inaelekea ya mbuzi jike yaweza kuwa matamu sana..........Itaongezea Special Romantic Moment...... (Hapa issue ni kutotoka nje ya mada)
Naye kama atahusika kwenye SRM basi kuna hatari sanaHii makitu matamu sana, inaelekea ya mbuzi jike yaweza kuwa matamu sana..........Itaongezea Special Romantic Moment...... (Hapa issue ni kutotoka nje ya mada)
Unavyojua kusoma katikati ya mistari, huo wasiwasi wako ndio hali halisi...........Hivi Mnadani nako wanachomaga vikojoleo na mabusha ya mbuzi? Yaani hapa tunazungumzia SRM kwa hisani ya nyama tamu iliyochomwa na siyo mbichiODM..hivi hapa tunafanyaje ama ndo tupo kwen SRM......mi nilishaonyesha wasi wasi wangu tokea mwanzo kabisaaa...
Unavyojua kusoma katikati ya mistari, huo wasiwasi wako ndio hali halisi...........Hivi Mnadani nako wanachomaga vikojoleo na mabusha ya mbuzi? Yaani hapa tunazungumzia SRM kwa hisani ya nyama tamu iliyochomwa na siyo mbichi
Aisee Naimagine unapata SRM kwenye GX110 baada ya kupata SRM mnadani,..............ODM lazima atimize ahadi yake bana.hiyo ni kama matairi na gari hommie...so SRM inaweza pia kuwa mnadani.....
MJ1,
Lots of jokes too
- Sema ahsante
- onyesha kwa vitendo umeridhika, cuddle him/her but dont over do coz sometimes inakua kama too much
- show interest for the next trip or moment
- write something (card is better than sms or email)
- take a few photos
- give the best - kitandani
- Fanya tathmini
MTM@no spesho moment at the moment
Jamani please tell me more about that sweetie!! je una maanisha you guys are not supposed to be given the happiest moment kwa kuwa mtakuwa weak au mie ndo sijaelewa?!mimi sikumbuki kwa sababu moja kuu!
Ninaamini kuwa 'a man's happiest moment is also his weakest moment'
so niko 50/50
Aisee Naimagine unapata SRM kwenye GX110 baada ya kupata SRM mnadani,..............ODM lazima atimize ahadi yake bana.
Mhhhh...wewe ni mkali sana wa kueleza mambo kwa ufasaha...Kama ungekuwa na darasa, lazima ningekuwa mwanafunzi wako siku moja!!
Hivi baada ya maelezo kama haya.....na kama ni kweli na wengi tunaona hivi....Kwa nini tusikimbie kumwita shekh akawahi na ubani wake ili maandiko yatimie????
Hatuwatendei haki wenzetu!!!
Jitahidi utakate mtoni hommie lol
MJ1 njoo kwetu upate SRM bana.....AshaDii ataaandaa kitu very special for you!
Aisee nataka kuandikisha mtoto shule, nahisi wife ana kaujauzito nisije kosa nafasi baadaye............!
Usha'clear' doubts zako sasa? maana wewe siku hizi kuna unachontafuta si bure hahahahh
Naja very soon. By the way karibu Mbeghe hapa Majengo!!
...namimi nimeli miss jukwaa hili kwakweli...mwanajamiione, treasure the moment & sweet memories.
Nikijitolea mfano wangu binafsi, natabasamu nikikumbukia masaa machache yaliyopita nilikuwa najipendelea
mbugani kwenye romantic retreat moja inayotizama korongo kuu;
....tabasamu lililokuwa linaupamba uso wa madame, muda wote nilokuwa
nae safarini lanitosheleza na lanipa tabasamu na furaha tele moyoni...
na wala sihitaji malipo ya aina yoyote, kwani lengo nia na madhumuni ilifikiwa
i.e...kufurahi pamoja..
Aksante sana MTM kaka yangu kwa mara nyingine tena umekuwa mwokozi wangu!
Hiyo namba sita hiyo dah!! I wish ningeijua wakati ule hahahaha sijui ningekuwa na kipya?! LOL
Jokes hahahahah hii ni aina ya 'msukule' maana utakuwa kila ukizikumbuka unaishia kucheka tu..................sidhani kama unaweza msahau kirahisi
Hata nisipotakata si unajua Unogaji wa pweza,ni vile hana miba!?Jitahidi utakate mtoni hommie lol
MJ1 njoo kwetu upate SRM bana.....AshaDii ataaandaa kitu very special for you!
Hii nayo yaweza kuwa SRM. Mwambie MJ1 ainukuu katika majumuisho yake kwenye haka karisechi anakokafanya.hAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAA.... JAMAA KAANDIKISHA MIMBA DARASA LA KWANZA 2017 ATI NAFASI ZA SHULE ZITAKUA NGUMU... hawa wahindi watatumaliza
Hii nayo ni spesho moment aisee
Anyway, hii kali