special schools na matokeo yao-Compare!

special schools na matokeo yao-Compare!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
s0110 ilboru secondary school
div-i = 20 div-ii = 69 div-iii = 79 div-iv = 0 fld = 0

position(nationwise) -4/329


s0140 mzumbe secondary school
div-i = 20 div-ii = 62 div-iii = 40 div-iv = 2 fld = 1

position(nationwise) -2/329

s0119 kibaha secondary school

div-i = 23 div-ii = 53 div-iii = 105 div-iv = 1 fld = 0

position(nationwise) -9/329


s0155 tabora boys secondary school

div-i = 9 div-ii = 54 div-iii = 100 div-iv = 2 fld = 0
position(nationwise) -15/329


s1268 kisimiri secondary school
div-i = 5 div-ii = 34 div-iii = 11 div-iv = 0 fld = 0
position nationwise- 5/329


tanzania one(science)-ilboru
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]s0110/0592
[/TD]
[TD="width: 4%"] m[/TD]
[TD="width: 6%"] 5[/TD]
[TD="width: 4%"] i[/TD]
[TD="width: 58%"] g/studies-s physics-c chemistry-a adv/maths-a [/TD]
[/TR]
[/TABLE]



 
what about girls schools?yaani tabora girls,kilakala,msalato?
 
dUH tANZANIA ONE NDO ANA I YA 5!??????? AISEEEE ELIMU IMESHUKA SANA BONGO...!!!!:A S-fire1:
 
Kisimiri ndo shule ya wapi hiyo? Nayo ni spesho skul ya wenye vipaji maalum?
 
dUH tANZANIA ONE NDO ANA I YA 5!??????? AISEEEE ELIMU IMESHUKA SANA BONGO...!!!!:A S-fire1:

Dah! inasikitisha mkuu...maana nikikumbuka idadi ya point 3 tulizoziweka Kibaha (mwaka siri yangu), naona kama hawa wanacheza kabisaaa...
 
s0110 ilboru secondary school
div-i = 20 div-ii = 69 div-iii = 79 div-iv = 0 fld = 0

position(nationwise) -4/329


s0140 mzumbe secondary school
div-i = 20 div-ii = 62 div-iii = 40 div-iv = 2 fld = 1

position(nationwise) -2/329
How do they determine these positions!? Au hizo div 1 na 2 za Ilboru hazina ubora kama hizo za Mzumbe?
 
du aisee yaani TO ana one ya 3 kweli elimu ya vijana wa miaka ya digitali bure kabisa aisee.....
 
hongera sana ilborian kwa kua t-0 hakika umetuwakilisha sisi ma alumni mungu ibariki ilboys mungu ibariki tanzania
 
Mwaka huu tabora girls kawazidi tabora boys, maskini shule yangu milambo wanaume wako hoi
 
ubora hauangaliw na one peke yake na ziro zinapunguza ubora
Ni sawa, lakini mzumbe kuna 4 mbili na zero moja lakini bado wao ni namba 2 licha ya kuwa Ilboru hakuna 4 wala 0 na pia kuna 1 kama za mzumbe na 2 nyingi zaidi!
 
How do they determine these positions!? Au hizo div 1 na 2 za Ilboru hazina ubora kama hizo za Mzumbe?

Mkuu rank ya shule upangwa kulingana na GPA ya ufaulu kwa kila somo kwa kawaida: A=1, B=2, C=3, D=4, E=5 etc. Sasa wastani wa kila somo unawekewe grade yake ambayo inazaa GPA. Then GPA za masomo yote yaliyofanywa na shule husika ujumlishwa na kugawanywa kwa idadi ya masomo, hivyo jawabu lipatikanalo ndiyo uleta GPA ya shule ambayo uwezesha shule kuwa-ranked katika nafasi mbalimbali kulinga na GPA zao.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom