nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
nmeona aza bway ndan ya top 10.AZAAAANIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukitazama kianzia nafasi ya 11 mpaka 30....Asilimia 90% ya shule hizo ni private schools..
Mie nashangaa private kuwa hot ilhali zilikuwa ni kwa ajili ya failures.
Imagine hata za mjini ambako waalim wapo hasa Dar es Salaam kina AZANIA, TAMBAZA, KIBASILA, etc wameshindwa kutamba. Shame on this...
Labda inawezekana ikawa hivyo usemavyo...maana tokea niliposhika paper yangu ya mwisho ya NECTA, sijawahi kutana na mtihani wowote wa NECTA walau ningefanya comparisonmkuu sio elimu imeshuka,,utungaji wa sasa hivi sio content based bali competence,na mitihani ya miaka yetu na sasa hivi ni tofauti,siku hizi vitu viko hot na well made,,
Labda inawezekana ikawa hivyo usemavyo...maana tokea niliposhika paper yangu ya mwisho ya NECTA, sijawahi kutana na mtihani wowote wa NECTA walau ningefanya comparison
Dah! inasikitisha mkuu...maana nikikumbuka idadi ya point 3 tulizoziweka Kibaha (mwaka siri yangu), naona kama hawa wanacheza kabisaaa...
We endelea kuweweseka tu kama kuku aliyevamiwa na utitiri...wenzenu tushapita huko kitambo!!!Lugha tu yenyewe uliyoitumia naweza kupata picha kwenye jedwali la matokeo utakuwa umepanga flat F'sUnatia huruma wewe......miaka haifanani...msitake kujifanya nyie ndo mlikuwa bora na kuongelea mbovu wenzenu....hujui wats behind thiz matkoeo so usiongee sana
utafanya tu