special schools na matokeo yao-Compare!

hizo shule zikwapokea o level walioungaunga yaani wenye three za mwishoni matokeo ya six sijui yatakuaje maana kwa hayo matokeo ni kuwa hao wote waliingia kwenye shule wakiwa special lakini majority wametoka wakiwa sio special tena
 
Mkuu ukitazama kianzia nafasi ya 11 mpaka 30....Asilimia 90% ya shule hizo ni private schools..

Sure Mkuu nami nimeliona hilo. Kwa wastani ni kwamba kama mwanao hatapata special schools za serikali basi ni bora uangalia performance ya shule za private up to number 50. Na hapa utakuta zile za kawaida za serikali hakuna kabisa ufaulu. Nimeangalia kama PUGU, MINAKI na nyingine maarufu ila ni kaputi tu hakuna lolote. Sasa ni mwendo wa shule za private tu maana za serikali kuna migomo!!! Imagine hata za mjini ambako waalim wapo hasa Dar es Salaam kina AZANIA, TAMBAZA, KIBASILA, etc wameshindwa kutamba. Shame on this...
 
Mie nashangaa private kuwa hot ilhali zilikuwa ni kwa ajili ya failures.

Kweli mkuu enzi zile nasoma private ilikuwa ni kwa wale wenzangu na mimi siku hizi eti ni kwa ajili ya vichwa!!-lakini kwa tanzania yetu sishangai sana kwani hata uhujumu uchumi enzi hizo ilikuwa ni kosa kubwa wakati siku hizi ni kisifa!!!
 
Imagine hata za mjini ambako waalim wapo hasa Dar es Salaam kina AZANIA, TAMBAZA, KIBASILA, etc wameshindwa kutamba. Shame on this...

Dah! TAzama MBAli ZAidi imedoda kweli nayo....matokeo yao ni aibu. Hakuna hata daraja la kwanza!!
 
Duh kumbe mkuu watu8 kumbe umesoma pia kibaha..shule yangu pia iyo enzi zetu ilikuwa moto
Nilikuwepo hapo mkuu, enzi za Mwampaja/Kayenga na kina Kaselenge Kachingwe "KK"...
 
Last edited by a moderator:
mkuu sio elimu imeshuka,,utungaji wa sasa hivi sio content based bali competence,na mitihani ya miaka yetu na sasa hivi ni tofauti,siku hizi vitu viko hot na well made,,
Labda inawezekana ikawa hivyo usemavyo...maana tokea niliposhika paper yangu ya mwisho ya NECTA, sijawahi kutana na mtihani wowote wa NECTA walau ningefanya comparison
 
Dah! inasikitisha mkuu...maana nikikumbuka idadi ya point 3 tulizoziweka Kibaha (mwaka siri yangu), naona kama hawa wanacheza kabisaaa...

Unatia huruma wewe......miaka haifanani...msitake kujifanya nyie ndo mlikuwa bora na kuongelea mbovu wenzenu....hujui wats behind thiz matkoeo so usiongee sana
 
Unatia huruma wewe......miaka haifanani...msitake kujifanya nyie ndo mlikuwa bora na kuongelea mbovu wenzenu....hujui wats behind thiz matkoeo so usiongee sana
We endelea kuweweseka tu kama kuku aliyevamiwa na utitiri...wenzenu tushapita huko kitambo!!!Lugha tu yenyewe uliyoitumia naweza kupata picha kwenye jedwali la matokeo utakuwa umepanga flat F's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…