Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Hapa tutaangalia mambo mengi kuhusu maandalizi ya Afcon, viwanja, burudani,fursa za kibiashara, uwekezaji wa mitaji na matukio kuelekea 2027, imebaki miaka 4 na miezi kadhaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote tatu zimepata tiketi ya moja kwa mojaTeam nyenyeji itakua Moja na ipi? Au zote 3?
hiyo 2027 mna uhakika atakuwepo??View attachment 2764318
Diamond Platnumz baba wa bongofleva, apewe nafasi ya kutengeneza wimbo maalum wa AFCON 2027.
Ana nguvu ya kututangaza East Africa.
Ana ushawishi mkubwa Africa na duniani.
Ni mbunifu anajua kufanya branding so atatusaidia sana kuuza muziki wetu na culture yetu.
Anapenda sana maendeleo ya michezo na burudani.
AFCON 2027 twende na Diamond Platnumz.
Watanzania tuweke chuki zetu pembeni na roho mbaya ambazo hazitusaidii kupata maendeleo miaka na miaka. Tuungane kumpigania Diamond Platnumz apewe ilo deal na CAF.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Wasafi.
Atakuwa amekufa kwanihiyo 2027 mna uhakika atakuwepo??
Chamazi akiwezi kutumika. Labda wakiboreshe. . Kanuni za caf kundaa michuano ya mataifa kiwanja lazima kiweze kubeba washabiki 20,000 kuendeleaViwanja vitakavyotumia Kenya ni
1,Kituo cha Kimataifa cha Moi-Nairobi
2,Kasarani-Nairobi
3,Uwanja wa Nyayo-Nairobi
4,Uwanja wa Kipchoge-Eldoret
Uganga
1,Namboole-Kampala
Tanzania
1,Uwanja wa Benjamin Mkapa-Dar es salaam
2,Uwanja wa Uhuru-Dar es salaam
3,Azam Complex Chamazi-Dar es salaam
4,Uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza
5,Uwanja wa Amani Zanzibar-Zanzibar
6,Dodoma-Dodoma
7,Uwanja wa Amani Arusha-Arusha
NimeshasabukilaibuHapa tutaangalia mambo mengi kuhusu maandalizi ya Afcon, viwanja, burudani,fursa za kibiashara, uwekezaji wa mitaji na matukio kuelekea 2027, imebaki miaka 4 na miezi kadhaa.
Watengeneze viwanja waache uhuniViwanja vitakavyotumia Kenya ni
1,Kituo cha Kimataifa cha Moi-Nairobi
2,Kasarani-Nairobi
3,Uwanja wa Nyayo-Nairobi
4,Uwanja wa Kipchoge-Eldoret
Uganga
1,Namboole-Kampala
Tanzania
1,Uwanja wa Benjamin Mkapa-Dar es salaam
2,Uwanja wa Uhuru-Dar es salaam
3,Azam Complex Chamazi-Dar es salaam
4,Uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza
5,Uwanja wa Amani Zanzibar-Zanzibar
6,Dodoma-Dodoma
7,Uwanja wa Amani Arusha-Arusha