Special thread: EACOP updates

Tony254 tayari mwanasheria mkuu ameshawasilisha muswada wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki (EACOP) katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Hii inaonyesha contract ya construction ya Tz is close.
Kabisa ziko karibu mno. Maana jana pia nimesikia miswada mbalimbali ikiwemo na EACOP ikisomwa bungeni na mwanasheria mkuu wa serikali.
 
Tony254 tayari mwanasheria mkuu ameshawasilisha muswada wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki (EACOP) katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tony254

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…