Special thread: EACOP updates

Next Month, EACOP company will be fully registerd in UK with footprints in Tz and Ug. EACOP will assume all activities which were/are currently performed by totalenergies.
 
Mbona certificate yetu haina barcode na inasiniwa na Minister badala ya Mkrurgenzi Mkuu wa NEMC? Kila decisions kwetu sie ni politics tu?

Nadhani ni kwa mujibu wa sheria. Lkn wahusika wanaweza kuliangalia hilo.
 
Si sawa ina maana political decision inaweza ku-supersede expertise by the council! Au waziri kalazimisha! Anayetoa permit ni NEMC na kiongozi wa NEMC ni DG!
 
Sheria inamtaja waziri kuwa ndiye atakayetoa vyeti. Lkn inawezekana anaweza kukasimu madaraka. Pengine kwa kuzingatia ukubwa wa mradi ndiyo maana katia saidi yeye.
 
Hebu ilete tuione! wewe huoni tatizo?
 
jamaa aliesema tunasubiri petroleum act yupo wapi
Hii ni miezi mitatu sasa imepita baada ya wewe french kupost hii comment. Ujenzi bado haujaanza. Dah! Enyewe wazungu wanawachezea shere. eliakeem naona ujenzi wa mradi wako bado haujaanza? Hahaaha
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜
 
Haya ni mambo mazuri, hayataki haraka.
🀣🀣🀣
 
kwani wewe hujui kama project ishaanza? construction ndio bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…