eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
- Thread starter
- #321
wewe jamaa huekewi kabisa.
Naanza kuingiwa na wasiwasi wa uelewa wa mtu huyu Tony254 siku hizi. Anaongea bila uhakina na kujua anaongea nini. Kuna issue moja kuhusu United Nations alibwatuka, unaweza dhani ni kichaa. Kaongea uongo uongo tu.
Hata hapa inabidi umzoee tu. Huku ukimpiga kwa evidence. Hapo ananywea utafikiri mmea wa Mimosa pudisa.
🤣🤣🤣