Special thread: EACOP updates

Special thread: EACOP updates

wewe jamaa huekewi kabisa.

Naanza kuingiwa na wasiwasi wa uelewa wa mtu huyu Tony254 siku hizi. Anaongea bila uhakina na kujua anaongea nini. Kuna issue moja kuhusu United Nations alibwatuka, unaweza dhani ni kichaa. Kaongea uongo uongo tu.
Hata hapa inabidi umzoee tu. Huku ukimpiga kwa evidence. Hapo ananywea utafikiri mmea wa Mimosa pudisa.
🤣🤣🤣
 
Nimeenda kwa hio website na sijaona tender yoyote ya ujenzi wenyewe wa pipeline. Tender unazozungumzia wewe sio za ujenzi wa pipeline hio. Mbona unajifanya kwamba huelewi vitu rahisi? Najua wewe unazungumzia tender zile za provision of insurance na kadhalika. Hizo sio tender za ujenzi. Tender za kuresettle watu ni upuuzi tu maana huo sio ujenzi wenyewe. Huo ni kama site clearance and site preparation work tu. Mimi nataka uweke hapa tender inayosema kwamba kuna expression of interest for the provision of pipeline construction services au tender inayosema expression of interest for construction of oil tank farm at Tanga port. Natumai sasa umeelewa tunachozungumzia hapa.

Tony254 do you know the weight of land acquisition in project which involves resettlement?
Uwe makini unapoongea haya mambo, na si kubwatuka tu.
 
Mimi nataka kuona tender ya kampuni ya ujenzi wa pipeline. Mambo ya resettlement sina haja nayo. Nitarudi tu wakati hizo tender zitatangazwa. Nyinyi endeleeni kuresettle watu.
 
Una uhuru wa kutoa maoni.
 
Nimeenda kwa hio website na sijaona tender yoyote ya ujenzi wenyewe wa pipeline. Tender unazozungumzia wewe sio za ujenzi wa pipeline hio. Mbona unajifanya kwamba huelewi vitu rahisi? Najua wewe unazungumzia tender zile za provision of insurance na kadhalika. Hizo sio tender za ujenzi. Tender za kuresettle watu ni upuuzi tu maana huo sio ujenzi wenyewe. Huo ni kama site clearance and site preparation work tu. Mimi nataka uweke hapa tender inayosema kwamba kuna expression of interest for the provision of pipeline construction services au tender inayosema expression of interest for construction of oil tank farm at Tanga port. Natumai sasa umeelewa tunachozungumzia hapa.
sasa unaebdaje namba 2 bila ya namba 1. EPCM tender ndio unazungumzia wewe yani engineering, procurement, construction and mgt. sasa procurement unafanyaje kama huja acquire land, au unaanzaje construction kama huja acquire land?
 
Ni vizuri umekubali kwamba ujenzi bado haujaanza.
 
EPCM contract ya TZ to be awarded next Month.
image_1b02419c-3f9a-4cb6-8d48-fb244f31399820210727_112541.jpg
 
Tumekukosea nini Mkuu?
toka mwaka 2016 hakuna lolote lililotendeka, yani ni bra bra bra, yada yada kibao na dezo dezo tu ndizo tunazozishuhudia.
mara huyu kaenda Kampala, yule nae kaja Dar,,, mbali na kunywa chai na kugeuza, hatuoni utendakazi wowote kwa ground. ni kuzungushana tu
 
Upo sahihi mkuu ila majadiliano ya miradi kama hii huchukua muda mrefu sana kwasababu ya mvutano wa kimaslahi baina ya nchi na nchi.
 
toka mwaka 2016 hakuna lolote lililotendeka, yani ni bra bra bra, yada yada kibao na dezo dezo tu ndizo tunazozishuhudia.
mara huyu kaenda Kampala, yule nae kaja Dar,,, mbali na kunywa chai na kugeuza, hatuoni utendakazi wowote kwa ground. ni kuzungushana tu

Hayo maneno yenu tumeyazoea. Hata SGR mlisema tukijenga micro mm 1, tuwa tag, now we have miles. You know what, this facility will be used across the generation, so even its construction will take a considerable period of time. umeipata hiyo?
 
Back
Top Bottom