Special thread: EACOP updates

SGR yenu ya stima imeanza kufanya kazi ama bado Waturuki wanaendelea kuwatia doggy style bila huruma?
Mchina ndio kawapa style kali kwenye SGR yenu popo kanyea mbingu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Twende taratibu. Phase 1 Dar-Moro imeanza kufanya kazi? Usiniambie mambo ya Sindiria sijui wapi huko.
Phases zinakuhusu nini wewe jua tunajenga eco friendly continuous welded electric sgr from dar to mwanza now tumefika singida na mwanza bado kipande kidogo tuu cha less than 300km tumalizie.
 
Phases zinakuhusu nini wewe jua tunajenga eco friendly continuous welded electric sgr from dar to mwanza now tumefika singida na mwanza bado kipande kidogo tuu cha less than 300km tumalizie.
Hata Morogoro hamjafika kutoka Dar. Mimi huwezi kunidanganya kama ulivyozoea kudanganya Wakenya wengine. Malizeni phase 1 kwanza ndio uje kujipiga kifua hapa. Hapo hapo Dar kuna daraja la SGR halijakamilika.
 
Halafu jamaa kaambia Al shabab kwamba waje Kenya kufanya mambo yao. Mungu alijua Somalia ni nchi inayopenda vita ndio maana amewafanya wawe shit-hole maana Somalia yenye jeshi imara ingesumbua watu sana ukanda huu. Somalia wakati bado ilikuwa na jeshi nzuri ilianza vita na Ethiopia eti kwa sababu ilikuwa inataka wasomali waliozaliwa na kuishi kusini mwa Ethiopia warudishwe Somalia.
 
Naona sasa hili jambo linawafanya wafikirie kuwa ni wamoja.
Binafsi nashauri mazungumzo zaidi yaendelee. Kenya inaihitaji Somalia na Somalia inaihitaji Kenya. Kwenye hili jambo hataibuka mshindi Somalia wala Kenya. Wote watapoteza. Afrika tunachangamoto zetu za kutoshakabisa. Tunaomba hili nalo lisiende kuongeza idadi ya changamoto.
 
Kenya haihitaji Somalia kwa lolote.
 
Kenya haihitaji Somalia kwa lolote.

You replied out of anger.
Kumbuka Somalia ni jirani. Na waswahili wanasema unaweza kuchagua rafiki, lakini siyo jirani. Akiwa jirani, lazima utafute mazuri yake, ili muweze kuishai kwa upendo na amani.
 
Kenyans should be very careful, otherwise more investors will leave the country
 
Kenyans should be very careful, otherwise more investors will leave the country

Anahitaji kuwa na hekima kubwa na subira, maana katika ugomvi huu hamna atakayeshinda.
 
Wakuu, Kuna ukweli wa hii kitu? What's the latest?

Geza Ulole
 
Kuna kipindi niliwahi sikia kwamba CNOOC walimuulizia TotalEnergies zamani Total hisa zao zote pamoja na Tullow?? Sasa tena wametokea wapi??
 
Kuna kipindi niliwahi sikia kwamba CNOOC walimuulizia TotalEnergies zamani Total hisa zao zote pamoja na Tullow?? Sasa tena wametokea wapi??
Walibaliza share kidogo na ndio operator akishirikiana na Total. Kitu kizuri ni kwamba mradi uko hatua za mwisho za ili kuweza kuanza.
 
Walibaliza share kidogo na ndio operator akishirikiana na Total. Kitu kizuri ni kwamba mradi uko hatua za mwisho za ili kuweza kuanza.

Okay, nilidhani wamemaliza kila kitu kama mwenzake Tullow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…