Mchina ndio kawapa style kali kwenye SGR yenu popo kanyea mbingu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SGR yenu ya stima imeanza kufanya kazi ama bado Waturuki wanaendelea kuwatia doggy style bila huruma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchina ndio kawapa style kali kwenye SGR yenu popo kanyea mbingu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SGR yenu ya stima imeanza kufanya kazi ama bado Waturuki wanaendelea kuwatia doggy style bila huruma?
Phases zinakuhusu nini wewe jua tunajenga eco friendly continuous welded electric sgr from dar to mwanza now tumefika singida na mwanza bado kipande kidogo tuu cha less than 300km tumalizie.Twende taratibu. Phase 1 Dar-Moro imeanza kufanya kazi? Usiniambie mambo ya Sindiria sijui wapi huko.
Hata Morogoro hamjafika kutoka Dar. Mimi huwezi kunidanganya kama ulivyozoea kudanganya Wakenya wengine. Malizeni phase 1 kwanza ndio uje kujipiga kifua hapa. Hapo hapo Dar kuna daraja la SGR halijakamilika.Phases zinakuhusu nini wewe jua tunajenga eco friendly continuous welded electric sgr from dar to mwanza now tumefika singida na mwanza bado kipande kidogo tuu cha less than 300km tumalizie.
Unajua Somalia hata hawana Navy so sijui wanatakaje. Kanchi kadogo lakini kanapenda vita. Huyu Farmaajo anacheza siasa na hii maneno. Uchaguzi wake wa urais unafanyika mwezi ujao ndio maana anatafuta kura kwa kuchokoza Kenya.this is horribleView attachment 1990252
Halafu jamaa kaambia Al shabab kwamba waje Kenya kufanya mambo yao. Mungu alijua Somalia ni nchi inayopenda vita ndio maana amewafanya wawe shit-hole maana Somalia yenye jeshi imara ingesumbua watu sana ukanda huu. Somalia wakati bado ilikuwa na jeshi nzuri ilianza vita na Ethiopia eti kwa sababu ilikuwa inataka wasomali waliozaliwa na kuishi kusini mwa Ethiopia warudishwe Somalia.this is horribleView attachment 1990252
Halafu jamaa kaambia Al shabab kwamba waje Kenya kufanya mambo yao. Mungu alijua Somalia ni nchi inayopenda vita ndio maana amewafanya wawe shit-hole maana Somalia yenye jeshi imara ingesumbua watu sana ukanda huu. Somalia wakati bado ilikuwa na jeshi nzuri ilianza vita na Ethiopia eti kwa sababu ilikuwa inataka wasomali waliozaliwa na kuishi kusini mwa Ethiopia warudishwe Somalia.
this is horribleView attachment 1990252
Kenya haihitaji Somalia kwa lolote.Naona sasa hili jambo linawafanya wafikirie kuwa ni wamoja.
Binafsi nashauri mazungumzo zaidi yaendelee. Kenya inaihitaji Somalia na Somalia inaihitaji Kenya. Kwenye hili jambo hataibuka mshindi Somalia wala Kenya. Wote watapoteza. Afrika tunachangamoto zetu za kutoshakabisa. Tunaomba hili nalo lisiende kuongeza idadi ya changamoto.
Kenya haihitaji Somalia kwa lolote.
Wakuu, Kuna ukweli wa hii kitu? What's the latest?
![]()
China’s CNOOC Takes Final Investment Decision in Uganda’s Oil Project
China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) has made a Final Investment Decision (FID) in Uganda’s Lake Albert oil project, Chimp Corps report. A Final investment decision on Kingfisher development now allows CNOOC, a Chinese oil firm, to award $460 million worth of contracts to Chinese and...chimpreports.com
Geza Ulole
Walibaliza share kidogo na ndio operator akishirikiana na Total. Kitu kizuri ni kwamba mradi uko hatua za mwisho za ili kuweza kuanza.Kuna kipindi niliwahi sikia kwamba CNOOC walimuulizia TotalEnergies zamani Total hisa zao zote pamoja na Tullow?? Sasa tena wametokea wapi??